Taifa lolote linalofanya mauaji kwa kiongozi wake ambaye amejitoa kulinda maslahi yake hupata laana isiyofutika kirahisi

Rwanda je?

Usikurupuke
 
bado hamuamini tu kafa
 
Siku hizi neno uzalendo limekuwa kivuri Cha kuwaumizia watu tafsiri ya neno uzalendo ni maumivu kwa watawaliwa..eti unasema mzalendo kumbe unawazuga tu ili uwaumize noo hapana
 
Lumumba hakuuliwa na Wacongo,
CIA ndio iliendesha mkakati wa kumuua baada ya kuona ana muelekeo wa kijamaa na kikomunist na aliegemea sana Urusi na China.
JPM alikuwa mwizi tu,aliendesha genge la kubambikia watu kesi chini ya DPP,hakufata sheria,hakufata Katiba,Idara ya kijasusi ilitumika kuua,kuumiza,na kunyamazisha wote waliompinga,alikuwa muhongo balaa,
Richa ya kwamba corona ndio iliyomoundoa,Yule hakutakiwa hata kumaliza wiki Ikulu,ilibidi atunguliwe tangu 2015,sasa kipi chema alichoacha,
 
Magufuli alikuwa anafanya kazi tuliyomtuma. Hakupasa kubughudhiwa.
 
Hivi huyu mtu wetu kuna mtu angeweza kumuua kweli? Nafikiri kwa jinsi alivyokuwa na nguvu, ni yeye mwenyewe angeamua kujiua ama kutokana na chukizo zake mbele za Mungu, Mungu mwenyewe aamue kumchukua.
 
Mkuu mbona kuna tetesi kuwa betri iliisha muda wake tangia kipindi cha kampeni na wataalamu wakamwambia mzee inatakiwa ibadilishwe ila operation yake ni risk kubwa.
 
Legacy pekee aliyotuachia mwendazake wana CCM ni matusi, tukana baba, TUKANA KUMU3NZI MFALMEView attachment 1781192
Mkuu nasikia kulikuwa na kundi kubwa la watu walioajiriwa kupitia Ikulu wakati wa Utawala wa mwendazake bila kuingizwa kwenye utaratibu wa kawaida wa ajira za Serikali. Watu hawa walipangiwa majukumu mbali mbali kwa kazi maalum.

Sasa Uongozi umebadilika na ajira zao za gizani zimepotelea huko huko gizani. Sasa wana hasira kweli kweli dhidi ya Uongozi wa Mama SASHA.

Wako wengine waliokuwepo kwenye ajira za Serikali lkn nao pia waliingizwa kwenye kundi hili kwa kazi maalum. Wote hawa ndio wanaohaha kwa sasa. Mfano kina Ole Saa Mbaya na kundi lake.
 
Watanyooka tu walizoea kutonyoosha kwa sumu ya inzi sasa wacha nao wailambe sumu ya mende
 
Mtaje aliyemuua ili sote tumshushie laana toka kwa Mungu.
Hatutaki hizo ramli zenu za kipumbavu za kila siku.
Petro aliambiwa na Yesu kuwa rudisha upanga alani mwake maana imeandikwa auaye kwa upanga nae atakufa kwa upanga.

ALIONYWA SANA, RUDISHA UPANGA ALANI MWAKE AKASHUPAZA SHINGO.

MWENYE MASIKIO NA ALISIKIE NENO HILI AMBALO ROHO AYAAMBIA MAKANISA
 
Umenena vyema mkuu
 
"Tutamkumbuka"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…