Taifa maskini linaloongozwa na Sheria zisizofaa. Inaingia akilini kumjengea nyumba aliyehudumu Serikalini miaka zaidi ya 20?

Jakaya Mrisho Kikwete

1988 - Mbunge na Naibu Waziri
1994- Mbunge na Waziri wa Fedha
1995 - 2005 Mbunge na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
2005 - 2015 Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Amehudhuria baraza la mawaziri kwa miaka 21 - miaka 11 kama Waziri, miaka 10 kama Rais
 
Naunga hoja mkono kwa 100%. Alafu hawa wote ni waislam na wakristo, sijui hizi dini zinawasaidia nini hawawatu mbaka wanashindwa kutambua matatizo ya watu wanao waogoza.
Ingefaa wanao kabidhiwa waone aibutu ni dhambi sana.
 
Inakuwaje taifa ambalo toka limepata uhuru uhaba wa madarasa, maji na huduma za afya ni jambo la kawaida, umaskini mkubwa kwa raia wake ni jambo la kawaida halafu bado linakuwa na sheria ambayo ilitungwa na Bunge kuhudumia na kulipa mafao viongozi wakuu wa kisiasa waliostaafu?

Inaingia akilini kumlipa mafao ya kumjengea majumba ya kifahari Rais au Waziri Mkuu ambae alishawahi kuhudumu serikalini zaidi ya miaka ishirini?

Kama Taifa linalojali wananchi wake kwanini hizi pesa zisitumike kuimarisha huduma za afya, elimu na miundombinu ili kuondoa umaskini?

Mtu alihudumu kama waziri kwa miaka ishirini, kisha anakuwa Rais kwa miaka kumi bado tu anahitaji nyumba na gari ya bure? Tena ya mabilioni ya shilingi? Kwa nini asijenge kwa mshahara wake?

My take: Kuna sheria zingine hazifai kuwepo kwenye nchi kama hii ambayo bado sana ipo nyuma kimaendeleo.
Tanzania ingekuwa Daladala kwa yanayotokea Watu wengi wangeshuka
 
Hivi nani alituloga?
Liko wapi kaburi lake tukaombe msamaha?
Huu ndio utopolo wa kiwango cha lami.
 
Inakuwaje taifa ambalo toka limepata uhuru uhaba wa madarasa, maji na huduma za afya ni jambo la kawaida, umaskini mkubwa kwa raia wake ni jambo la kawaida halafu bado linakuwa na sheria ambayo ilitungwa na Bunge kuhudumia na kulipa mafao viongozi wakuu wa kisiasa waliostaafu?

Inaingia akilini kumlipa mafao ya kumjengea majumba ya kifahari Rais au Waziri Mkuu ambae alishawahi kuhudumu serikalini zaidi ya miaka ishirini?

Kama Taifa linalojali wananchi wake kwanini hizi pesa zisitumike kuimarisha huduma za afya, elimu na miundombinu ili kuondoa umaskini?

Mtu alihudumu kama waziri kwa miaka ishirini, kisha anakuwa Rais kwa miaka kumi bado tu anahitaji nyumba na gari ya bure? Tena ya mabilioni ya shilingi? Kwa nini asijenge kwa mshahara wake?

My take: Kuna sheria zingine hazifai kuwepo kwenye nchi kama hii ambayo bado sana ipo nyuma kimaendeleo.
Twendeni na Katiba Mpya itakayozaa Tume Huru ya uchaguzi na hatimaye wabunge wengi wa upinzani. Sheria kama hizi hazitapita. Lakini Mkuu chagu wa malunde wewe ulikuwa mtetezi sana wa uvunjaji katiba wakati wa Mwendazake. Maana wakati JK anatoka Upinzani ulikuwa na angalao 1/3 ya viti bungeni. Lakini kwa wizi wa kura za 2020 upinzani una kiti kimoja cha Nkansi.
 
Viongozi wa Africa hawapo kwa ajili ya kutumikia wananchi wapo ajili ya kupiga pesa. Over
 
Juzi wakati dhalimu yuko hai ulikuwa unasifia kila kitu, kafariki dhalimu unapinga kile kile alichokuwa anakifanya kisa hakifanywi na kiongozi wa kisukuma. Hebu tulia ww maana ni mnafiki wa nguvu.
Ahaaa, ndugu unanifanya nicheke bure. Kwani sheria kama hii isiofaa inawaletea mizengwe wachaga pekee au wasukuma? Jaribu kuwa na busara hata kidogo.
 
Twendeni na Katiba Mpya itakayozaa Tume Huru ya uchaguzi na hatimaye wabunge wengi wa upinzani. Sheria kama hizi hazitapita. Lakini Mkuu chagu wa malunde wewe ulikuwa mtetezi sana wa uvunjaji katiba wakati wa Mwendazake. Maana wakati JK anatoka Upinzani ulikuwa na angalao 1/3 ya viti bungeni. Lakini kwa wizi wa kura za 2020 upinzani una kiti kimoja cha Nkansi.
Fuatilia post zangu huko nyuma sipendi kabisa uvunjifu wa katiba ya JMT. Labda umechanganya mambo. Habari ya matokeo ya uchaguzi wa mwaka jana ni ishu ambayo mpaka sasa zimebaki stori za kusadikika.
 
Inakuwaje taifa ambalo toka limepata uhuru uhaba wa madarasa, maji na huduma za afya ni jambo la kawaida, umaskini mkubwa kwa raia wake ni jambo la kawaida halafu bado linakuwa na sheria ambayo ilitungwa na Bunge kuhudumia na kulipa mafao viongozi wakuu wa kisiasa waliostaafu?

Inaingia akilini kumlipa mafao ya kumjengea majumba ya kifahari Rais au Waziri Mkuu ambae alishawahi kuhudumu serikalini zaidi ya miaka ishirini?

Kama Taifa linalojali wananchi wake kwanini hizi pesa zisitumike kuimarisha huduma za afya, elimu na miundombinu ili kuondoa umaskini?

Mtu alihudumu kama waziri kwa miaka ishirini, kisha anakuwa Rais kwa miaka kumi bado tu anahitaji nyumba na gari ya bure? Tena ya mabilioni ya shilingi? Kwa nini asijenge kwa mshahara wake?

My take: Kuna sheria zingine hazifai kuwepo kwenye nchi kama hii ambayo bado sana ipo nyuma kimaendeleo.
Ni ujinga wa kiwango cha bombadia....kisha mijitu inafurahia sheria za kinyonyaji hiZo

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Kumbukeni na jiwe anajengewa pamoja ameleft ze group. Sasa endeleeni kumsema JK wakati JK alijijengea zake msoga kwa pesa yake, jiwe ndio akajipendekeza mwenyewe.
 
Fuatilia post zangu huko nyuma sipendi kabisa uvunjifu wa katiba ya JMT. Labda umechanganya mambo. Habari ya matokeo ya uchaguzi wa mwaka jana ni ishu ambayo mpaka sasa zimebaki stori za kusadikika.
Kwa nini ziwe story za kusadikika na siyo matokeo halisi?

Mwendazake alichapisha kura zake kupitia ma DSOs
 
Juzi wakati dhalimu yuko hai ulikuwa unasifia kila kitu, kafariki dhalimu unapinga kile kile alichokuwa anakifanya kisa hakifanywi na kiongozi wa kisukuma. Hebu tulia ww maana ni mnafiki wa nguvu.
Ni kweli tindo huyu mtoa mada chagu wa malunde alikuwa ni CHAWA mkubwa wa Mwendazake, tena anaweza kukesha na wewe akikubishia na kukujibu kwa ajili ya yule Bwana. Leo amebadilika kiajabu sana
 
Hivi hayati mkapa, hayati nyerere na Alli mwinyi walishajengewa nao?
 
Haka ka kikundi ni hatari, kila kukicha wanajiwekea sheria ili wasishitakiwe wakati na baada ya kustaafu...sheria kandamizi za habari ili ukiyasema madhambi yao ushitakiwe...

CCM ina mpango wa kuitawala Tanzania vizazi vingi vijavyo kama mikakati isiyo rasmi hatutaianzisha watanzania..

Silaha kubwa ya CCM kuendelea kuitawala nchi bila hofu ni katiba hii ya 1977 ambayo ilikiwa based kwa chama kimoja ; pamoja na hiyo tume ya uchaguzi inayoteuliwa 100% na Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM..

Wacheni wale!!
 
Rais mstaafu anastahili hizi: 80% ya mshahara wa rais aliyepo madarakani; ofisi na wafanyakazi wanaolipwa na serikali; walinzi; gari; matibabu kokote duniani; diplomatic passport; air ticket kila mwaka kwenda popote anapotaka; and yet anajengewa hekalu!
Kwa ukweli watz tumefanywa wote ni wajinga.haingii akilini kabisa kea watu wanaogharimiwa na serikali kila kitu bado wanapewa mahekalu mbona watumishi hawaongezewi mishahara?pesa za kujengeana majumba zipo za nyongeza za mishahara hakuna,madarasa hakuna,madawa hakuna,barabara hazijakamilika,watumishi hawatoshi,nk lkn bado fedha zetu zinafujwa ni hatari Sana katiba ni muhimu sana.
 
Rais mstaafu anastahili hizi: 80% ya mshahara wa rais aliyepo madarakani; ofisi na wafanyakazi wanaolipwa na serikali; walinzi; gari; matibabu kokote duniani; diplomatic passport; air ticket kila mwaka kwenda popote anapotaka; and yet anajengewa hekalu!
Tunakosea sana tunapofananisha taifa letu na nchi kama Usa.
 
Back
Top Bottom