The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Wabongo hamuwezi kukaa na kocha wa kigeni hata siku moja, sHIDA YENU HAMNA UVUMILIVUSasa Tanzania tunahitaji kocha wa kigeni mwenye rekodi nzuri ya ufundishaji na mwenye kukizi viwango vya kimataifa.
Hivi ulisoma ulichokiandika kabla ya kukipost?
Mimi siku zote huwa nasema makocha wazalendo wa kitanzania uwezo wao huwa mdogo lakini huwa wanataka kulazimishia mambo makubwa matokeo yake ndo 7-0
Tanzania kama tungekuwa tumepiga hatua kisoka tungeona mchango wa hawa makocha wazalendo lakini kwa hali hii ni sawa kumchukua mwalimu aliyefail mtihani akafundishe wanafunzi halafu mtegemee wanafunzi hao kufaulu.
Sasa Tanzania tunahitaji kocha wa kigeni mwenye rekodi nzuri ya ufundishaji na mwenye kukizi viwango vya kimataifa.
Fatigue.......
Tatizo sio kocha,tatizo ni mfumo wetu wa soka.Hakuna kocha atakayetufaa duniani kama tutaendelea na mtindo wetu huu wa kuendesha soka.Na huyo Maximo hakuwa mzuri kiufundi bali alikua ni muhamasishaji zaidi.