The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
timu yetu imefungwa na algeria bao 7-0 na kuondolewa mashndanoni kwa bao 9-2 badala ya kutafuta mchawi mi nazani huu ni wakati muafaka kwa serikali kurekebisha mtazamo kuhusu michezo serikali izingatie kua zaidi ya kuleta furaha kwa sasa michezo pia nia ajira kwa kua tunataraji kupata baraza la mawaziri hv karibuni bas nashauri wateule waje na mikakati ya kuibua na kulea vipaji kwa kuongeza nguvu kwenye michezo ikiwemo kupeleka mashuleni wataalam na vifaa vya michezo vya kutosha lakini pia kujenga vituo maalum vya serikali kwaajili ya kulelea na kukuzia vipaji vya watanzania ikiwa 2tafanya hivyo tutasahau kushndwa