Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Suali lako.. NINI KIFANYIKE?
Tanzania kwa ujumla hatuna jibu..... (mara zote tunafungwa /tunashindwa) !!
jibu lako lipo kwa wale wanaotushindaga/wanaotufungaga!!
@PAIN KILLER
Mkuu huyo jamaa keshakuambia sio mwanamichezo nakushangaa unavyomshambulia......hv unajua kuna watu ukiwaambia kuna timu inaitwa azam anaweza hata asiijue maana soka sio eneo lao.Jamani Tanzania sisi tuna akili za panzi, anzia viongozi wetu mpaka raia yule mdogo kabisa! Sasa na wewe kama siyo akili ya panzi hii ni kitu gani? Nani alikwambia kwamba tulishinda kwa magoli mawili? Mechi iliisha 2-2 magoli ya Algeria yakiwa ya kizembe kabisa, wachezaji wetu wana ubongo wa panzi, mpira hawawezi wabaki kugegeda tu ndo fani wanayoweza! Wacha tupigwe 7-0 ni size yetu!!
Mkuu..., Pia kwa elimu ya Sayansi na taaluma za magonjwa "wakitaka kuelewa/kujifunza VIRUSI au MAAMBUKIZO FULANI huwa wanapandikiza na kuviPlant culture ya MADUDU hao" (utafiti wa kina) hapo ndipo huweza tambua pakuanzia !!!!@ Mkubwa Zamiluni Zamiluni naamini unamaanisha tujifunze kutoka kwa hao wanaotufungaga...ni kweli kabisa wenzetu wamewekeza katika soccer la vijana ndio maana vijana wao wengi kama wakina yacine brahine na Riyad Mahrez pamoja na wengine wanacheza vilabu vikubwa ulaya.
Bao la mapema ndilo lilowachanganya. Lkn pia Stars wana udhaifu sana upande wa mabeki, hawana uwezo wa kulinda magoli. Jinsi ma forward wa Algeria walivokuwa wakipiga chenga za maudhi na kupita hadi huruma. Wachezaji wa Algeria wanatumia mbinu za kitoto sana za kuanguka kila mara lkn cha ajabu referee naye anahadaika nazo. Mimi nilikuwa nashangaa sana michezaji ya Algeria jinsi ilivyokuwa mikubwa na yenye nguvu lkn kudondoka ovyo ovyo.
we we ni mpuuzi kocha mbovu INA maana scolari nae alikuwa mbovu mana Brazil walipewa saba..acha ujinga
Hivi haya matokeo hayawezi kufutwa kama Matokeo ya ZEC!!( Just a Joke)
Jamani tatazo sioo kocha ttzo ni washambuliaji wetu pia kipa katubooa sana hachezi na mabeki wakee
Taifa star kufungwa tatizo ni uwezo mdogo wa kocha wa timu ya taifa au kocha?
hata washabiki wana uwezo mdogo