Taifa stars anapoteza Leo


Naomba ifikapo Saa 11 na dakika 55 jioni ya leo uje tena hapa hapa utupe matokeo ya mwisho, ila ninachojua ni kwamba iwe jua au mvua Intamba Murugamba ( Burundi ) wanafungwa leo kwa Mkapa.
 
Inabidi uhamiaji wawe wanapitapita na humu!!!!
Ni utani, Tanzania tunapendana.
Haaaaahaaaaaa!!!!!
 
Ilikuwa kidogo utabiri wako utimie.Burundi ni wazuri hatari.Wengi wanacheza nje ya nchi yao.
 
Sasa hivi kocha yuko poa sio wale wa zama zile

Uko sahihi! Kuna utofauti mkubwa sana kati ya yule good for nothing Amunike na huyu Ndairagije! Huyu walau ni msikivu na mfano mzuri ni kumuacha nje Haruna Shamte kwenye mchezo wa leo na hivyo kumuanzisha mzoefu Kessy.

Leo hata kama timu ingetolewa, bado nisingewalaumu. Wachezaji wamejituma, walikuwa wanashambulia, nk.
 
Hongera nyingi kwa Taifa Stars kwa kuingia hiyo hatua ya makundi. Mapambano yaendelee mpaka mwisho.
 
Hongera sana Taifa stars, all the best Kwa hatua zinazofuata, ila Burundi Leo kwenye penati walikula maharage ya wapi 3 zote holaa,duuh
 
Hongera sana Taifa stars, all the best Kwa hatua zinazofuata, ila Burundi Leo kwenye penati walikula maharage ya wapi 3 zote holaa,duuh

Nasikia Shirikisho la mpira la Burundi linakusanya ushahidi ili kumshtaki Kaseja CAF! Eti wale wachezaji waliokosa penati wamelalamikia kwa viongozi wao kuliona "Jitu kubwa la kutisha golini" badala ya golikipa Kaseja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…