Zbc 2Mechi inarushwa chanel gan?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zbc 2Mechi inarushwa chanel gan?
Leo naona kabisa Taifa stars atashindwa kwenya hatua ya makundi na kwasababu wanaweza kubweteka kutokana na matokeo ya away hapa ndo kutaanzia tatizo lakini pia Burundi individual wanauwezo mkubwa kuliko wachezaji wetu.Japo naipenda timu yangu ya Taifa ila naona kabisa tunaanguka lakini pia Nina wasiwawasi na lineup itakayokuwa Leo lakini Kama wachezaji hawatabweteka na kujituma Sana na pia lineup ya Leo itakuwa nzuri tutatoboa tofauti na hapo tujiandae kisaikologia.
Kaseja akikaa golini tunatoboa
HatariKaseja akikaa golini tunatoboa
Leo naona kabisa Taifa stars atashindwa kwenya hatua ya makundi na kwasababu wanaweza kubweteka kutokana na matokeo ya away hapa ndo kutaanzia tatizo lakini pia Burundi individual wanauwezo mkubwa kuliko wachezaji wetu.Japo naipenda timu yangu ya Taifa ila naona kabisa tunaanguka lakini pia Nina wasiwawasi na lineup itakayokuwa Leo lakini Kama wachezaji hawatabweteka na kujituma Sana na pia lineup ya Leo itakuwa nzuri tutatoboa tofauti na hapo tujiandae kisaikologia.
Sasa hivi kocha yuko poa sio wale wa zama zile
I seeHongera nyingi kwa Taifa Stars kwa kuingia hiyo hatua ya makundi. Mapambano yaendelee mpaka mwisho.
Hongera sana Taifa stars, all the best Kwa hatua zinazofuata, ila Burundi Leo kwenye penati walikula maharage ya wapi 3 zote holaa,duuh
Na FIFA tvZbc 2