Heee, Simba na twiga nani ni kitoweo cha mwanzake? Serengeti, ngorongoro, mikumi maana yake kumejaa vitoweo nyumbu, punda, swala (preys) wengi kuliko simba, mamba, chui (predators), hivyo timu itakuwa kufungwa ni kwingi kuliko kufunga. Kuliwa ni kwingi kuliko kula. Ukijiita taifa stars maana yake ni Sawa na kujiita cha wote maana kila nchi ni taifa, unakuwa kama pombe ya ngomani, kila mtu anajichotea.Sasa na ww mbona umeweka vitoweo kama chatu, simba ,mamba vyote hivi ni vitoweo
Inaitwa kilimanjaro stars mkuuHili jina la taifa stars halina haraka Kwa timu yetu, hasa baada ya kulaaniwa na Rais mstaafu Mwinyi. Taifa stars ndo nini? Wakati timu za wenzetu zikipewa majina yenye maana na ya kishujaa kama lions, manyingu, eagle, black stars, cranes, etc. sisi eti tunaziita timu zetu Kwa majina dhaifu kama taifa stars, twiga (kitoeo), Serengeti, ngorongoro. Wacha tanapa wafanye ya kwao na tff wafanye Yao.
Timu yetu ili ishinde lazima ipewe majina kama, chatu, chui, Simba, kifaru, mwewe, siafu, mchwa, NK.
Msiponisikiliza kwenye hili tutaendelea kushangaa kila siku
Jina siyo sababu,hatuna mipango na mikakati Kila siku tunakurupuka tu,na mfano mechi ya Cape Verde hatukuwaheshimu tuliwadharau na kuwajaza upepo Wachezaji wetu kuwa hawa ni timu ndogo wakati wao ni 67fifa rank,sisi ni 100+Hili jina la taifa stars halina haraka Kwa timu yetu, hasa baada ya kulaaniwa na Rais mstaafu Mwinyi. Taifa stars ndo nini? Wakati timu za wenzetu zikipewa majina yenye maana na ya kishujaa kama lions, manyingu, eagle, black stars, cranes, etc. sisi eti tunaziita timu zetu Kwa majina dhaifu kama taifa stars, twiga (kitoeo), Serengeti, ngorongoro. Wacha tanapa wafanye ya kwao na tff wafanye Yao.
Timu yetu ili ishinde lazima ipewe majina kama, chatu, chui, Simba, kifaru, mwewe, siafu, mchwa, NK.
Msiponisikiliza kwenye hili tutaendelea kushangaa kila siku
Nakwann mchezaji akija Simba,Yanga na azam ndo aitwe stars?Ungeshauri uteuzi wa wachezaji wasipendelee sana simba na yanga ningekuelewa zaidi kuliko kubadilisha jina alafu wachezaji ni timu zetu kubwa hizi mbili ambazo naweza sema huwa zinaonekana ziko vizuri kumbe asilimia kubwa zina wachezaji wa kigeni. Soka letu mchezaji akifika simba au yanga wanajisahau sana kwamba wamefika kumbe sio.
Kwanini kocha hakuchezesha wale wale wachezaji waliotoka sare na Uganda Cranes? KWELI MAKOCHA WANAAJILIWA KAZI ILI WAFUKUZWE KAZI. alitaka kuwaridhisha mashabiki wa timu fulaniUngeshauri uteuzi wa wachezaji wasipendelee sana simba na yanga ningekuelewa zaidi kuliko kubadilisha jina alafu wachezaji ni timu zetu kubwa hizi mbili ambazo naweza sema huwa zinaonekana ziko vizuri kumbe asilimia kubwa zina wachezaji wa kigeni. Soka letu mchezaji akifika simba au yanga wanajisahau sana kwamba wamefika kumbe sio.
mamba ni jasiri na anaogopesha kwenye maji. Kama mtoto wako utampa jina la Matatizo, Tabu, Mashaka, Masumbuko, nk atapata taabu sana kwenye maisha. Hebu fikiria mwenyewe, "Taifa stars" ndiyo nini? Nani katuroga?Kwa hiyo jina lina umamama flaani kwa mbaali mtoa mada bana kwani hata mamba si kitoweu tu
Eti walitaka kwenda na Dreamliner kuwakoga wa Cape VerdeJina siyo sababu,hatuna mipango na mikakati Kila siku tunakurupuka tu,na mfano mechi ya Cape Verde hatukuwaheshimu tuliwadharau na kuwajaza upepo Wachezaji wetu kuwa hawa ni timu ndogo wakati wao ni 67fifa rank,sisi ni 100+View attachment 897902
Afadhali hata sungura ana mbinu za kumuua hata nyoka kirahisi tu. Jina ni muhimu sana kwenye kitu chochote. Hebu fikiria kama siku moja utafungua glossary yako nzuriiii, lakini ukaipa jina la CHUMA ULETE, utasubiri sana wateja hadi uende kwa sangomaTuuite hata Sungura stars
πππππEti walitaka kwenda na Dreamliner kuwakoga wa Cape Verde