Taifa stars ibadilishiwe jina kama mkitaka ahueni.

Taifa stars ibadilishiwe jina kama mkitaka ahueni.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Hili jina la taifa stars halina baraka kwa timu yetu, hasa baada ya kulaaniwa na Rais mstaafu Mwinyi. Taifa stars ndo nini? Wakati timu za wenzetu zikipewa majina yenye maana na ya kishujaa kama lions, manyingu, eagle, black stars, cranes, etc. sisi eti tunaziita timu zetu Kwa majina dhaifu kama taifa stars, twiga (kitoweo), Serengeti, ngorongoro. Wacha tanapa wafanye ya kwao na tff wafanye Yao.

Timu yetu ili ishinde lazima ipewe majina kama, chatu, chui, Simba, kifaru, mwewe, siafu, mchwa, NK.

Msiponisikiliza kwenye hili tutaendelea kushangaa kila siku
 
Sasa na ww mbona umeweka vitoweo kama chatu, simba ,mamba vyote hivi ni vitoweo
Heee, Simba na twiga nani ni kitoweo cha mwanzake? Serengeti, ngorongoro, mikumi maana yake kumejaa vitoweo nyumbu, punda, swala (preys) wengi kuliko simba, mamba, chui (predators), hivyo timu itakuwa kufungwa ni kwingi kuliko kufunga. Kuliwa ni kwingi kuliko kula. Ukijiita taifa stars maana yake ni Sawa na kujiita cha wote maana kila nchi ni taifa, unakuwa kama pombe ya ngomani, kila mtu anajichotea.
 
Hili jina la taifa stars halina haraka Kwa timu yetu, hasa baada ya kulaaniwa na Rais mstaafu Mwinyi. Taifa stars ndo nini? Wakati timu za wenzetu zikipewa majina yenye maana na ya kishujaa kama lions, manyingu, eagle, black stars, cranes, etc. sisi eti tunaziita timu zetu Kwa majina dhaifu kama taifa stars, twiga (kitoeo), Serengeti, ngorongoro. Wacha tanapa wafanye ya kwao na tff wafanye Yao.

Timu yetu ili ishinde lazima ipewe majina kama, chatu, chui, Simba, kifaru, mwewe, siafu, mchwa, NK.

Msiponisikiliza kwenye hili tutaendelea kushangaa kila siku
Inaitwa kilimanjaro stars mkuu
 
Ungeshauri uteuzi wa wachezaji wasipendelee sana simba na yanga ningekuelewa zaidi kuliko kubadilisha jina alafu wachezaji ni timu zetu kubwa hizi mbili ambazo naweza sema huwa zinaonekana ziko vizuri kumbe asilimia kubwa zina wachezaji wa kigeni. Soka letu mchezaji akifika simba au yanga wanajisahau sana kwamba wamefika kumbe sio.
 
Kwa hiyo jina lina umamama flaani kwa mbaali mtoa mada bana kwani hata mamba si kitoweu tu
 
Jina siyo sababu,hatuna mipango na mikakati Kila siku tunakurupuka tu,na mfano mechi ya Cape Verde hatukuwaheshimu tuliwadharau na kuwajaza upepo Wachezaji wetu kuwa hawa ni timu ndogo wakati wao ni 67fifa rank,sisi ni 100+
IMG-20181013-WA0003.jpg
 
Ungeshauri uteuzi wa wachezaji wasipendelee sana simba na yanga ningekuelewa zaidi kuliko kubadilisha jina alafu wachezaji ni timu zetu kubwa hizi mbili ambazo naweza sema huwa zinaonekana ziko vizuri kumbe asilimia kubwa zina wachezaji wa kigeni. Soka letu mchezaji akifika simba au yanga wanajisahau sana kwamba wamefika kumbe sio.
Nakwann mchezaji akija Simba,Yanga na azam ndo aitwe stars?
 
Hii timu wakabiziwe ccm maana wana mbinu nyingi za ushindi rejea chaguzi mbali mbali
 
Stars ingeitwa:
-THE LIONS PRIDE au
-THE WILD DOGS (Mbwa mwitu).

Ukifuatilia jinsi simba wanavyoishi kama kikundi (pride) utakubaliana nami na pia ushirikiano wa mbwa mwitu kwenye kumshambulia adui ktk kutafuta kitoweo, hawachagui size, yaani hawataki mchezo. Taifa starz halina maana yoyote.
 
Ungeshauri uteuzi wa wachezaji wasipendelee sana simba na yanga ningekuelewa zaidi kuliko kubadilisha jina alafu wachezaji ni timu zetu kubwa hizi mbili ambazo naweza sema huwa zinaonekana ziko vizuri kumbe asilimia kubwa zina wachezaji wa kigeni. Soka letu mchezaji akifika simba au yanga wanajisahau sana kwamba wamefika kumbe sio.
Kwanini kocha hakuchezesha wale wale wachezaji waliotoka sare na Uganda Cranes? KWELI MAKOCHA WANAAJILIWA KAZI ILI WAFUKUZWE KAZI. alitaka kuwaridhisha mashabiki wa timu fulani
 
Kwa hiyo jina lina umamama flaani kwa mbaali mtoa mada bana kwani hata mamba si kitoweu tu
mamba ni jasiri na anaogopesha kwenye maji. Kama mtoto wako utampa jina la Matatizo, Tabu, Mashaka, Masumbuko, nk atapata taabu sana kwenye maisha. Hebu fikiria mwenyewe, "Taifa stars" ndiyo nini? Nani katuroga?
 
Jina siyo sababu,hatuna mipango na mikakati Kila siku tunakurupuka tu,na mfano mechi ya Cape Verde hatukuwaheshimu tuliwadharau na kuwajaza upepo Wachezaji wetu kuwa hawa ni timu ndogo wakati wao ni 67fifa rank,sisi ni 100+View attachment 897902
Eti walitaka kwenda na Dreamliner kuwakoga wa Cape Verde
 
Tuuite hata Sungura stars
Afadhali hata sungura ana mbinu za kumuua hata nyoka kirahisi tu. Jina ni muhimu sana kwenye kitu chochote. Hebu fikiria kama siku moja utafungua glossary yako nzuriiii, lakini ukaipa jina la CHUMA ULETE, utasubiri sana wateja hadi uende kwa sangoma
 
Back
Top Bottom