kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Hili jina la taifa stars halina baraka kwa timu yetu, hasa baada ya kulaaniwa na Rais mstaafu Mwinyi. Taifa stars ndo nini? Wakati timu za wenzetu zikipewa majina yenye maana na ya kishujaa kama lions, manyingu, eagle, black stars, cranes, etc. sisi eti tunaziita timu zetu Kwa majina dhaifu kama taifa stars, twiga (kitoweo), Serengeti, ngorongoro. Wacha tanapa wafanye ya kwao na tff wafanye Yao.
Timu yetu ili ishinde lazima ipewe majina kama, chatu, chui, Simba, kifaru, mwewe, siafu, mchwa, NK.
Msiponisikiliza kwenye hili tutaendelea kushangaa kila siku
Timu yetu ili ishinde lazima ipewe majina kama, chatu, chui, Simba, kifaru, mwewe, siafu, mchwa, NK.
Msiponisikiliza kwenye hili tutaendelea kushangaa kila siku