Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Game na Guinea sitaangaliaStars Ni Kichwa Cha Mwendawazimu Mzee Wangu Ruksa Alimaliza Kila Kitu Kwa Usemi!
Hatari mno !😂😂timu pressure mwanzo mwisho
Wale Namibia wametuzidi kuanzia kupanga mashambulizi na uwezo wamchezaji mmoja mmoja.Hatari mno !
Hii timu ni presha tupu!Wale Namibia wametuzidi kuanzia kupanga mashambulizi na uwezo wamchezaji mmoja mmoja......
Neksti Guinea vs Tanzania,ni kiama kabisa.......Hii timu ni presha tupu !
Nazima TvNeksti Guinea vs Tanzania,nikiama kabisa.......
Angalia tu mkuu, ndiyo kitu chetunazima Tv
Kwa maombi tuliishinda COVID19, hivi hatuwezi kusali hadi tuchukue ubingwa CHAN?Hii timu ni presha tupu !
Kwa maombi tuliishinda COVID19, hivi hatuwezi kusali hadi tuchukue ubingwa CHAN?
Kwa maombi tuliishinda COVID19, hivi hatuwezi kusali hadi tuchukue ubingwa CHAN?
Wanaolalamika ni haohao wapinzaniWapinzani walituchelewesha , kwahiyo wapinzani hawapo lakini bado malalamiko hayaishi
Yeye na mwajiri wake walimgwaya yule mzee mjuaji wa kila kitu. Binafsi siwezi kuwalaumu, ingawa ni ukweli ulio wazi! Ndairagije uwezo wake ni wa kufundisha tu vilabu.Mm bado ntaendelea kumlaumu kocha....hakufanya vizuri kwenye kuchagua wachezaji....Kuna baadhi ya wachezaji wazuri amewaacha...wangeweza kusaidia timu angalau....kuliko hao alionao.
Na kweli.Huu ndio ukweli unaofichwa, shukrani zimwendee Mwenyezi Mungu pekee, baada ya Stars kufunga goli, dk zote zilizosalia tumepumulia mashine, kuna wakati nimeshangaa wachezaji wa Namibia kukosa magoli ya namna ile mbele ya difensi yetu mdebwedo kiasi cha kushangaza na kuleta maswali ya kutaka kujua walikookotwa mabeki wetu.
Timu haijui kujilinda wala kukaba kiasi kama tukikutana na timu yenye kasi tutapigwa kontena la magoli .
Sijivunii ushindi tulioupata maana ni ushindi wa Bahatisha Ndulute.