Taifa Stars ingecheza Kombe la Dunia tungefungwa hata goli 10 kwa mchezo mmoja, mpira wanaoupiga Wazungu ni hatari

Taifa Stars ingecheza Kombe la Dunia tungefungwa hata goli 10 kwa mchezo mmoja, mpira wanaoupiga Wazungu ni hatari

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Naangalia mpira wa Australia dhidi ya Ufaransa, kwa hakika huu mpira 'formula' yake hapa Afrika hakuna. Yaani jamaa kama wanapigana vita.

Sisi tubaki kushangilia Simba na Yanga tu. Mpira bado sana.
 
Ndio akili za watz kiuishabikia Simba na yangaa,na timu za mataifa menginee km zilizofudhu kombe la dunia ..
Ss ww wataka tushabikie wap mkuuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
France ni hatari upande wa wings, kuna Mbappe na Dembele. Hawa jamaa wanatembea vibaya sana.
 
Back
Top Bottom