Taifa Stars ipo kwenye njia sahihi; jana nimeziona pasi mpenyezo na kukaba kwa kuwapokonya mipira mabeki wa timu pinzani

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Tuweke siasa pembeni,

Hii timu tangu nchi hii ianze ilikuwa inatia aibu sasaivi naanza kuona mageuzi ya soka ktk timu yetu ya taifa.

Wachezaji hawabweteki tena ukizingua hupangwi kila mtu anataka ufalme pia mpira wetu umekua wa kimkakati.

Uzi tayari
 
Sikupingi
 
sisi tufanye mengine. Hayo ya mpira tuwaachie wengine

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Sisi tunaweza kupigana tu majungu, kurogana, kupiga dili, kungonoka, kuingia mikataba ya Kimangungo, na kufanya kila aina ya hila ili kushinda uchaguzi.

Huko kwingine ni kama tunawasindikiza tu wenzetu ambao siku zote wako serious na mambo yao.
 
Nimeangalia makipa zaidi ya 500 katika maisha wakiwa golini katika Mechi za madaraja mbalimbali. Huyu ni kipa wa Kwanza kumuona anaokoa shuti Kwa mtindo wa volleyball.
Anazuia mpira usiende golini , na sio kudaka mpira usiende golini 😂😂
 
Nimeangalia makipa zaidi ya 500 katika maisha wakiwa golini katika Mechi za madaraja mbalimbali. Huyu ni kipa wa Kwanza kumuona anaokoa shuti Kwa mtindo wa volleyball.
Ile kanzu siyo shati.
 
Lile goli la kwanza jomba hapana, Mbagala-Tegeta.
Jifunze mpira pale hakuna kosa la kipa magoli hayo hata ulaya makipa wanafungwa .

Ule ni ufundi wa mpigaji anaudundisha mpira mbele yako lazima ukuchanganye.

Hata hapa nchini aziz ki amekua akipiga mipira hiyo ila tunasema makipa wabovu kumbe ni ufundi wa mpigaji
 
Mpigaji anaudundisha away from 25 meters??!!???!?? You must be kidding bro. Mle kipa Kawawa hamna kubali tu hata kama ni shemejio.
 
Back
Top Bottom