Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Kaa na ukilaza wako unashangaa nn hapo? Nimekutolea mfano aziz msim uliopita kafunga magoli ya aina hiyo zaid ya mara 3.Mpigaji anaudundisha away from 25 meters??!!???!?? You must be kidding bro. Mle kipa Kawawa hamna kubali tu hata kama ni shemejio.
Ulaya huko magoli yanafungwa sana tu, mpira ukishadunda mbele yako lazima ukuchaganye