OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Yule kipa ni mzuri niamini mimiAisee na yule kipa Kawawa hamna kitu mle.
Lile goli la kwanza jomba hapana, Mbagala-Tegeta.Yule kipa ni mzuri niamini mimi
Lalikosea timing, aliruhusu mpira udunde ndo ukampoteza njiaLile goli la kwanza jomba hapana, Mbagala-Tegeta.
Hata ukakamataji na uzuiaji wa Mpira alikosea achilia mbali timingLalikosea timing, aliruhusu mpira udunde ndo ukampoteza njia
Ndo maana tunasema hafai angeanza hata Benno.Lalikosea timing, aliruhusu mpira udunde ndo ukampoteza njia
SikupingiTuweke siasa pembeni,
Hii timu tangu nchi hii ianze ilikuwa inatia aibu sasaivi naanza kuona mageuzi ya soka ktk timu yetu ya taifa.
Wachezaji hawabweteki tena ukizingua hupangwi kila mtu anataka ufalme pia mpira wetu umekua wa kimkakati.
Uzi tayari
Yule kipa sijui aliZibwa na nani paleLile goli la kwanza jomba hapana, Mbagala-Tegeta.
Sisi tunaweza kupigana tu majungu, kurogana, kupiga dili, kungonoka, kuingia mikataba ya Kimangungo, na kufanya kila aina ya hila ili kushinda uchaguzi.sisi tufanye mengine. Hayo ya mpira tuwaachie wengine
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Uwezo mdogo huo.Yule kipa sijui aliZibwa na nani pale
Nimeangalia makipa zaidi ya 500 katika maisha wakiwa golini katika Mechi za madaraja mbalimbali. Huyu ni kipa wa Kwanza kumuona anaokoa shuti Kwa mtindo wa volleyball.Yule kipa ni mzuri niamini mimi
Hahahahaha, je uliko aliko hua anaanza?Nimeangalia makipa zaidi ya 500 katika maisha wakiwa golini katika Mechi za madaraja mbalimbali. Huyu ni kipa wa Kwanza kumuona anaokoa shuti Kwa mtindo wa volleyball.
Yule anazuia mpira usiingie golini, na sio kudaka mpiraUwezo mdogo huo.
Anazuia mpira usiende golini , na sio kudaka mpira usiende golini 😂😂Nimeangalia makipa zaidi ya 500 katika maisha wakiwa golini katika Mechi za madaraja mbalimbali. Huyu ni kipa wa Kwanza kumuona anaokoa shuti Kwa mtindo wa volleyball.
Ile kanzu siyo shati.Nimeangalia makipa zaidi ya 500 katika maisha wakiwa golini katika Mechi za madaraja mbalimbali. Huyu ni kipa wa Kwanza kumuona anaokoa shuti Kwa mtindo wa volleyball.
Jifunze mpira pale hakuna kosa la kipa magoli hayo hata ulaya makipa wanafungwa .Lile goli la kwanza jomba hapana, Mbagala-Tegeta.
Mpigaji anaudundisha away from 25 meters??!!???!?? You must be kidding bro. Mle kipa Kawawa hamna kubali tu hata kama ni shemejio.Jifunze mpira pale hakuna kosa la kipa magoli hayo hata ulaya makipa wanafungwa .
Ule ni ufundi wa mpigaji anaudundisha mpira mbele yako lazima ukuchanganye.
Hata hapa nchini aziz ki amekua akipiga mipira hiyo ila tunasema makipa wabovu kumbe ni ufundi wa mpigaji