Taifa Stars ipo kwenye njia sahihi; jana nimeziona pasi mpenyezo na kukaba kwa kuwapokonya mipira mabeki wa timu pinzani

Mpigaji anaudundisha away from 25 meters??!!???!?? You must be kidding bro. Mle kipa Kawawa hamna kubali tu hata kama ni shemejio.
Kaa na ukilaza wako unashangaa nn hapo? Nimekutolea mfano aziz msim uliopita kafunga magoli ya aina hiyo zaid ya mara 3.

Ulaya huko magoli yanafungwa sana tu, mpira ukishadunda mbele yako lazima ukuchaganye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…