Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jezi ya stars ya nini kuvaa au kwa vile akishinda vinywaji Bei nusu?? Taifa stars tushafungwa tukijitahidi saana drooMimi nitasimama na Lesotho mpaka kieleweke.
Siwezi kuvaa jezi kama sare ya kwaya
View attachment 1052129
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe inaonyesha umtalaamu wa mambo ya kuacha matako wazi ndio maana ukaamua kuziba kwa gunzi kabisa kama jina lako.Tako lako la kushoto limekaa upande unataka kujamba nini tuzibe pua?
Sent using Jamii Forums mobile app
DAB mnafiki sana kanisani yupo, msikitini yupo, kwa wachawi yupo. Mungu hadhihakiwiKabisa pombe hizo zitaleta balaa...watu watakatana zaidi ^^^^Hizo ni mimba na HIV...ajali zitaongezeka kwani dereva kesho kama unaenda uwanja wa T ukisimamishwa na traffic unampigia DAD....hata kama umeshikilia bapa orijino mkono wa kushoto....hizi ni laana hasa ukizingatia ni wakati wa kwaresma...yaani sitaki kuamini mtu ni huyu huyu aliyekua akilialia makanisana...laana hii haitomwacha swalama
Sent using Jamii Forums mobile app
Usifate mkumbo wa humu mwamba,,Kwa waleo ambao hatupo tayari kuishangilia taifa stars tukutane hapa. Eleza sababu kwanini hutaishangilia Stars na badala yake utaishangilia the Cranes!
Mm binafsi sitaishangilia stars na badala yake nitaishangilia the cranes kwasababu zifuatazo.
1. Ushindi wa stars utaleta madhara mengi namakubwa kwa jamii kufuatia kufungwa kwa mitaaa na pombe kuuuzwa nusu bei hivyo kuwa na matukio mengi mabaya.
2. Mchezo huu kuhusisha wanasiasa
3.kuepuka aibu ya kuvuta mkia tukienda afcon.
Karibu ueleze sababu zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria gani imevunjwa hapo,mbona Brazil ilipokuja ilikuta mashabiki kibao Uwanja wa Taifa?Ni ushamba kushabikia timu ya nchi nyingine..kama hupendi kaa kimya..tutawapiga bomba ndani ya Massa 24