3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Watasema tumenunua mechi... mchawi hakosi hirizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watasema tumenunua mechi... mchawi hakosi hirizi
Nyie SADIO MANE mtuachie SAMATTA wetu mkuu.Ikiwa Walioiombea Uganda na Lesotho Mabaya ni Wachawai
Na Walioiombea Taifa Stars Mabaya ni Wachawi!
Sasa Mwema Ni Nani?
Watasema tumepuliza dawa vyumbani...
Sure mkuu hata nilikuwa team PINGA PINGAHumu JF walikuwa wengi kweli nadhani hapo walipo sasa wananuka aibu . Na tusingepita leo hii pangechafuka hapa jukwaani kwa kejeli kibao
PoleNipo hapa... kushabikia kitu ambacho unajua wazi kabisa hakito shinda wala hakina mbinu zozote zile chanya za kufanikiwa kushinda
Huo ni ujinga "... Always huwa nina penda kusimama upande wa washindi
Sent using Jamii Forums mobile app
PoleMimi nitasimama na Lesotho mpaka kieleweke.
Siwezi kuvaa jezi kama sare ya kwaya
View attachment 1052129
Sent using Jamii Forums mobile app
PoleJezi ya stars ya nini kuvaa au kwa vile akishinda vinywaji Bei nusu?? Taifa stars tushafungwa tukijitahidi saana droo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la Kheri Timu Yangu ya Uganda
Uganda piga Team Amunike goli za kutosha tu
Natumai Okwi hutoniangusha
Kwa waleo ambao hatupo tayari kuishangilia taifa stars tukutane hapa. Eleza sababu kwanini hutaishangilia Stars na badala yake utaishangilia the Cranes!
Mm binafsi sitaishangilia stars na badala yake nitaishangilia the cranes kwasababu zifuatazo.
1. Ushindi wa stars utaleta madhara mengi namakubwa kwa jamii kufuatia kufungwa kwa mitaaa na pombe kuuuzwa nusu bei hivyo kuwa na matukio mengi mabaya.
2. Mchezo huu kuhusisha wanasiasa
3.kuepuka aibu ya kuvuta mkia tukienda afcon.
Karibu ueleze sababu zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wanafungwa kweli maandalizi yamebase sana IG ,maneno mengi ubunifu F.
Hiyo mil 10 mwenyekiti anaitoa wapi?
Kuna matatizo mengi ya mcingi ya wananchi yanahitaji pesa,hao Taifa stars si wanaposho na bajeti kila kitu tuache kijikweza wakati uwezo mdogo.
Tunawaza tofauti heshimu mawazo yangu na inafungwa kesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la kheri Uganda na Lesotho ushindi mnono.
Kila la kheri Tanzania (0000).
Poleni
Uende uhamiaji leoMaandalizi Ya zima Moto hayana nafasi kwangu. Mpira wa Bongo zimamoto-zimamoto.
Kichwa cha Mwendawazimu lazima wapokee pigo takatifu..
Nakama Watafuzu basi nitakata uraia wa Estonia,nakuwaachia lijinchi lenu la kitu kidogo.
Poor Taifastars!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀
Hatimaye tumefuzu Mtani tena kwa KishindoNI ZAMU YETU... wakimbizi endeleeni kukusanya vyenu.
Starz ushindi lazima , AFCON 2019 LAZIMA
Ngapi huko uwanjan mpira hujaisha tu ?Nipo hapa Esta'dio Nacional de Cabo Verde hapa Mjini Praia,hali ya hewa ni nzuri kabisa. Vijana na mashabiki wa Cape Verde nawaona hawana matumaini wala uhakika wa angalau kudroo hii match maana Vijana wa Timu yangu Lesotho wana ari kubwa sana ya ushindi na mashabiki tupo wengi sana. Mungu Ibariki Lesotho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasemajeeee?
Kweli mtani miaka 39 tumekuwa watazamaji tu.Hatimaye tumefuzu Mtani tena kwa Kishindo
hawa mashabiki feki😀😀😀😀