Syntax ERROR
Senior Member
- Jan 2, 2019
- 184
- 165
Uzalendo na Taifa Stars unatoka wapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo uzalendo muhimu..Wasi wasi wako tu Mtani.
Nipo hapa Esta'dio Nacional de Cabo Verde hapa Mjini Praia,hali ya hewa ni nzuri kabisa. Vijana na mashabiki wa Cape Verde nawaona hawana matumaini wala uhakika wa angalau kudroo hii match maana Vijana wa Timu yangu Lesotho wana ari kubwa sana ya ushindi na mashabiki tupo wengi sana. Mungu Ibariki Lesotho.Naona kama tuna mechi mbili kwa mpigo kule Lesotho matokeo yanatuhusu na hapa kwetu yanatuhusu kwa hiyo dishi likicheza kidogo tu ni balaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nilikwazikaMimi nitasimama na Lesotho mpaka kieleweke.
Siwezi kuvaa jezi kama sare ya kwaya
View attachment 1052129
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaMimi nitasimama na Lesotho mpaka kieleweke.
Siwezi kuvaa jezi kama sare ya kwaya
View attachment 1052129
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushaondoka naoWale mashabiki wa Lesotho na Ugana naomba tujuane mapema
Mwakilishi wa nchi ni mmoja tu.... Siwezi ungana na watu wenye wivu mimi
Nyumbu! Kichwani mwako kumbe umejaza matope tuMimi nitasimama na Lesotho mpaka kieleweke.
Siwezi kuvaa jezi kama sare ya kwaya
View attachment 1052129
Sent using Jamii Forums mobile app
Amunike ndo uyo sasa ameenda Afcon ..hahahaha dua zako za kishamba hazijafika popote....taratibu utaanza kumuelewa.. Uku kwetu bia nusu bei, uko kwenu vipi??hahahahahahahhahahahahahahahahahsbsbabababahahahahahahahahahaBro sasa Ukristo umeingiaje hapa?
Kwani Uganda na Lesotho ni Waislam?
Kwahiyo kila asiyeitakia ushindi Taifa Stars ni Mpinga Ukristo?
Yani hapo umepotea Kabisa Coz toka alipowasili Amunike Nchini kama Kocha Mimi niliachana na Kigenge hichi cha Amunike ambacho sasa ni cha Bashite na Wema.
Mimi Nikiwa Kama Mshabiki Wa Simba Kindakindaki siwezi kuwa pamoja na Kigenge hichi cha Amunike hata Siku moja.
Uchawi ni dhambi ya mauti! Mnakera sana! Anayewaombea wengine mabaya ni mchawi
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu JF walikuwa wengi kweli nadhani hapo walipo sasa wananuka aibu . Na tusingepita leo hii pangechafuka hapa jukwaani kwa kejeli kibaoNyie hater's badilikeni bhana! Tuipende Tanzania yetu