Taifa Stars kufungwa kwa Mchina! Mashabiki wa Lesotho na Uganda tujuane mapemaa

Taifa Stars kufungwa kwa Mchina! Mashabiki wa Lesotho na Uganda tujuane mapemaa

Naona kama tuna mechi mbili kwa mpigo kule Lesotho matokeo yanatuhusu na hapa kwetu yanatuhusu kwa hiyo dishi likicheza kidogo tu ni balaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo hapa Esta'dio Nacional de Cabo Verde hapa Mjini Praia,hali ya hewa ni nzuri kabisa. Vijana na mashabiki wa Cape Verde nawaona hawana matumaini wala uhakika wa angalau kudroo hii match maana Vijana wa Timu yangu Lesotho wana ari kubwa sana ya ushindi na mashabiki tupo wengi sana. Mungu Ibariki Lesotho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG-20190324-WA0015.jpeg
IMG-20190324-WA0017.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupigwe mapema tukalale ili next time tujifunzwe kufumgwa na na lesotho ni zaidi ya kulaaniwa
 
Bro sasa Ukristo umeingiaje hapa?
Kwani Uganda na Lesotho ni Waislam?

Kwahiyo kila asiyeitakia ushindi Taifa Stars ni Mpinga Ukristo?

Yani hapo umepotea Kabisa Coz toka alipowasili Amunike Nchini kama Kocha Mimi niliachana na Kigenge hichi cha Amunike ambacho sasa ni cha Bashite na Wema.

Mimi Nikiwa Kama Mshabiki Wa Simba Kindakindaki siwezi kuwa pamoja na Kigenge hichi cha Amunike hata Siku moja.
Amunike ndo uyo sasa ameenda Afcon ..hahahaha dua zako za kishamba hazijafika popote....taratibu utaanza kumuelewa.. Uku kwetu bia nusu bei, uko kwenu vipi??hahahahahahahhahahahahahahahahahsbsbabababahahahahahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie hater's badilikeni bhana! Tuipende Tanzania yetu
 
Nyie hater's badilikeni bhana! Tuipende Tanzania yetu
Humu JF walikuwa wengi kweli nadhani hapo walipo sasa wananuka aibu . Na tusingepita leo hii pangechafuka hapa jukwaani kwa kejeli kibao
 
Back
Top Bottom