Mtimkavuorg
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 655
- 527
Tuombe Verde ishinde na cc tushinde tu maana ata tukishinda cc bd bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu kama nyie mnapaswa mfungwe jiwe kubwa shingoni kisha mtupwe baharini..hamna faida yeyote kama mnaendekeza usaliti kwa timu yetu ya taifa stars..au mlitak kwenye jezi kuchorwe mbalamwezi na nyota juu?Kila la Kheri Timu Yangu ya Uganda
Uganda piga Team Amunike goli za kutosha tu
Natumai Okwi hutoniangusha
Na wanafungwa kweli maandalizi yamebase sana IG ,maneno mengi ubunifu F.
Hiyo mil 10 mwenyekiti anaitoa wapi?
Kuna matatizo mengi ya mcingi ya wananchi yanahitaji pesa,hao Taifa stars si wanaposho na bajeti kila kitu tuache kijikweza wakati uwezo mdogo.
Tunawaza tofauti heshimu mawazo yangu na inafungwa kesho.
Sent using Jamii Forums mobile app