Taifa Stars kufungwa kwa Mchina! Mashabiki wa Lesotho na Uganda tujuane mapemaa

Taifa Stars kufungwa kwa Mchina! Mashabiki wa Lesotho na Uganda tujuane mapemaa

Wale mashabiki wa Lesotho na Ugana naomba tujuane mapema

Mwakilishi wa nchi ni mmoja tu.... Siwezi ungana na watu wenye wivu mimi

Pamoja na kasoro zilizopo lakini tangulizeni utaifa mbele...siasa zinazofanana na Guaido wa Venezuela tuache...hawa walioko TFF wapo pale kwa muda ...itafika muda wataondoka....lakini Tanzania itabaki...ni kweli TFF wana udhaifu mkubwa, lakini hii tukiwa kama watanzania isitufanye tuitose nchi yetu kwa sababu tu ya kundi moja la wababaishaji wanaoteua kamati za watu wasio na sifa kuhamasisha ushindi wa Taifa Stars...
 
Sio kwamba mnaipenda Uganda ila siasa zimewatawala kupindukia! Hii michuano ni muhimu kwa Tz kuliko siasa za Makonda kumbukeni tunataka kuweka historia hapo kesho.Jitahidini kuwa na kiasi na hakuna mtu wa kuipenda nchi yetu nzuri Tz zaidi ya sisi wenyewe. Grow Up and think big.
 
Na wanafungwa kweli maandalizi yamebase sana IG ,maneno mengi ubunifu F.
Hiyo mil 10 mwenyekiti anaitoa wapi?

Kuna matatizo mengi ya mcingi ya wananchi yanahitaji pesa,hao Taifa stars si wanaposho na bajeti kila kitu tuache kijikweza wakati uwezo mdogo.

Tunawaza tofauti heshimu mawazo yangu na inafungwa kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunashinda mbili moja.

Sent using Nokia ya Torch
 
Na wanafungwa kweli maandalizi yamebase sana IG ,maneno mengi ubunifu F.
Hiyo mil 10 mwenyekiti anaitoa wapi?

Kuna matatizo mengi ya mcingi ya wananchi yanahitaji pesa,hao Taifa stars si wanaposho na bajeti kila kitu tuache kijikweza wakati uwezo mdogo.

Tunawaza tofauti heshimu mawazo yangu na inafungwa kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watachapwa Mbili Taifa Stars.
 
Maandalizi Ya zima Moto hayana nafasi kwangu. Mpira wa Bongo zimamoto-zimamoto.

Kichwa cha Mwendawazimu lazima wapokee pigo takatifu..

Nakama Watafuzu basi nitakata uraia wa Estonia,nakuwaachia lijinchi lenu la kitu kidogo.

Poor Taifastars!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom