thuma
JF-Expert Member
- Nov 2, 2016
- 369
- 497
HahahaaaaWewe inaonyesha umtalaamu wa mambo ya kuacha matako wazi ndio maana ukaamua kuziba kwa gunzi kabisa kama jina lako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaaaWewe inaonyesha umtalaamu wa mambo ya kuacha matako wazi ndio maana ukaamua kuziba kwa gunzi kabisa kama jina lako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale mashabiki wa Lesotho na Ugana naomba tujuane mapema
Mwakilishi wa nchi ni mmoja tu.... Siwezi ungana na watu wenye wivu mimi
Watachapwa Mbili Taifa Stars.Na wanafungwa kweli maandalizi yamebase sana IG ,maneno mengi ubunifu F.
Hiyo mil 10 mwenyekiti anaitoa wapi?
Kuna matatizo mengi ya mcingi ya wananchi yanahitaji pesa,hao Taifa stars si wanaposho na bajeti kila kitu tuache kijikweza wakati uwezo mdogo.
Tunawaza tofauti heshimu mawazo yangu na inafungwa kesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaBashite na ccm wameweka siasa hadi wachezaji wanaogopa.
SWISSME
InafungwaNdio uhamasishaji wenyewe yaani hamasa. Kama inakuuma hama nchi. Taifa Stars inshinda kesho nakwambia.
Sent using Jamii Forums mobile app