Taifa Stars kufungwa kwa Mchina! Mashabiki wa Lesotho na Uganda tujuane mapemaa

MMH. KWA HILI NASIMAMA NA TAIFA LANGU
20190323_125601.jpg

KILA LA KHERI TAIFA STARS. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Kwa waleo ambao hatupo tayari kuishangilia taifa stars tukutane hapa. Eleza sababu kwanini hutaishangilia Stars na badala yake utaishangilia the Cranes!

Mm binafsi sitaishangilia stars na badala yake nitaishangilia the cranes kwasababu zifuatazo.

1. Ushindi wa stars utaleta madhara mengi namakubwa kwa jamii kufuatia kufungwa kwa mitaaa na pombe kuuuzwa nusu bei hivyo kuwa na matukio mengi mabaya.

2. Mchezo huu kuhusisha wanasiasa

3.kuepuka aibu ya kuvuta mkia tukienda afcon.

Karibu ueleze sababu zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ushamba kushabikia timu ya nchi nyingine..kama hupendi kaa kimya..tutawapiga bomba ndani ya Massa 24
 
Kabisa pombe hizo zitaleta balaa...watu watakatana zaidi ^^^^Hizo ni mimba na HIV...ajali zitaongezeka kwani dereva kesho kama unaenda uwanja wa T ukisimamishwa na traffic unampigia DAD....hata kama umeshikilia bapa orijino mkono wa kushoto....hizi ni laana hasa ukizingatia ni wakati wa kwaresma...yaani sitaki kuamini mtu ni huyu huyu aliyekua akilialia makanisana...laana hii haitomwacha swalama

DAB mnafiki sana kanisani yupo, msikitini yupo, kwa wachawi yupo. Mungu hadhihakiwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa waleo ambao hatupo tayari kuishangilia taifa stars tukutane hapa. Eleza sababu kwanini hutaishangilia Stars na badala yake utaishangilia the Cranes!

Mm binafsi sitaishangilia stars na badala yake nitaishangilia the cranes kwasababu zifuatazo.

1. Ushindi wa stars utaleta madhara mengi namakubwa kwa jamii kufuatia kufungwa kwa mitaaa na pombe kuuuzwa nusu bei hivyo kuwa na matukio mengi mabaya.

2. Mchezo huu kuhusisha wanasiasa

3.kuepuka aibu ya kuvuta mkia tukienda afcon.

Karibu ueleze sababu zako

Sent using Jamii Forums mobile app
Usifate mkumbo wa humu mwamba,,
sasa kesho jifanye mganda ushangilie wakufinye wakuulize vibali vya kuishi tz,,

huu utawala wa ankal magu,,hana breki wa stop injini anabuluza tu,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom