Taifa Stars kufungwa kwa Mchina! Mashabiki wa Lesotho na Uganda tujuane mapemaa

Humu JF walikuwa wengi kweli nadhani hapo walipo sasa wananuka aibu . Na tusingepita leo hii pangechafuka hapa jukwaani kwa kejeli kibao
Sure mkuu hata nilikuwa team PINGA PINGA

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Kila la Kheri Timu Yangu ya Uganda
Uganda piga Team Amunike goli za kutosha tu
Natumai Okwi hutoniangusha
Kila la kheri Uganda na Lesotho ushindi mnono.
Kila la kheri Tanzania (0000).
Ninamuomba Mola timu ya Amunike ifungwe tu, potelea kote

Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walijanza makaunta kwa maneno ya kejeli kwa Taifa stars hapo walipo kila mtu anachoma moto kinyonge duh!! kweli wabongo roho mbaya kuna mtu kwenye uzi huu alikomenti yeye mzalendo anaombea Taifa stars ishinde 5 - 0 halafu Lesotho ashinde moja tu.
 
Ngapi huko uwanjan mpira hujaisha tu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…