Taifa stars leo tunashinda na kusonga

Taifa stars leo tunashinda na kusonga

Sega la asali

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2023
Posts
1,153
Reaction score
2,700
Najua hatuna imani na Taifa stars Wachezaji mmoja mmoja lakini leo tutawashinda Congo kwa 1:0 na tutasonga mbele.

Zambia atafungwa na Morroco 2:1

Asanteni

.....................
MREJESHO
Stars sio tu kichwa cha mwendawazimu bali ni mavi ya punda
 
I wish tungekuwa na wachezaji wanaojituma uwanjani, na pia wapambanaji kama Ibrahim Bacca, Simon Msuva, Kibu Dennis na yule dogo Morrice Abraham.

Bahati mbaya ndiyo hivyo tena. 🙁
 
Tanzania mpira mdogo na kushinda wanategemea zaidi miujiza kuliko ufundi. Mpira wa Tanzania unaharibiwa zaidi na siasa pamoja na mipango mibovu.

Ccm pamoja na mwenyekiti wao wanatumia mpira kama jukwaa la kujitafutia umaarufu ambao hawana tena hivyo inafaa Tanzania ifungwe na kuondolewa mashindanoni ili wanaotumia mpira kujitafutia umaarufu waondoke kwa aibu.
 
Back
Top Bottom