Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningekuwa na Mamlaka na Wizara yao ya habari, ningewaundia Chombo cha Kiaaluma kwamba watakaoruhusiwa kufanya kazi ya Utangazaji,Uko sahihi.
Watakufa njaa.Ningekuwa na Mamlaka na Wizara yao ya habari, ningewaundia Chombo cha Kiaaluma kwamba watakaoruhusiwa kufanya kazi ya Utangazaji,
Ni wale wenye fani hiyo na lazima wawe wamesajiriwa na Bodi kama ilivyo Wahandisi, Madaktari, Wagavi na Wanunuzi, MaSekretari n.k ili kuondoa Ukanjanja wao
CC Pascal Mayalla
Hakuna jinsi, vyema hawa Watangazaji Makanjanja waondoke.Watakufa njaa.
Kwenye sheria ipo sijui kwanini mpaka sasa bado haijaundwa!Ningekuwa na Mamlaka na Wizara yao ya habari, ningewaundia Chombo cha Kiaaluma kwamba watakaoruhusiwa kufanya kazi ya Utangazaji,
Ni wale wenye fani hiyo na lazima wawe wamesajiriwa na Bodi kama ilivyo Wahandisi, Madaktari, Wagavi na Wanunuzi, MaSekretari n.k ili kuondoa Ukanjanja wao
CC Pascal Mayalla
Kuna haja wangeharakisha huo Mchakato ili kutuondolea Waandishi wasio na weledi.Kwenye sheria ipo sijui kwanini mpaka sasa bado haijaundwa!
P
wengi walishaandaa makala za kuwa wamefungwa na wameshindwa kufuzu. hata mimi niliamini itakuwa hivyo.Kumbe Ng'ombe wa maskini hazai. Makala ndeefu tulizoandaa kuweka magazetini na mitandaoni tumelazimika Kuzifuta kimyakimya. Mpaka Sasa wengi tuko vitandani hatujaamka tunahisi tukitoka nje tunaonana na Kibu Denis akiwa kashikana mkono na Dickson Job wakituukiza "Mlisema hatufiki mbali hapa ni wapi?"
Taifa Stars nyie siyo wa kutifanyia hivyo Sisi na hadhi yetu! Leo ilikuwa siku ya kukusanya maokoto Kwa kauli mbiu ya "Tulijua tu, kiko wapi?"
Taifa Stars mlichotufanyia Wachambuzi Bora tukajifiche Kizimkazi.