Haji mwinyi anachezea Yebo yebo na hao wawili (Mao & Musa) wanachezea Timu ya Mabosi aka wazee wa mabadiliko aka Azam.Jamani, hivi hawa wachezaji wanatoka club zipi? 3.Haji Mwinyi; 6.Himid Mao; 11.Farid Mussa
Jamani, hivi hawa wachezaji wanatoka club zipi? 3.Haji Mwinyi; 6.Himid Mao; 11.Farid Mussa
Jamani, hivi hawa wachezaji wanatoka club zipi? 3.Haji Mwinyi; 6.Himid Mao; 11.Farid Mussa
Kimeanzaje?kipindi cha pili kimeanza.
Mabeki wetu wanaleta Unyoso golini
Kimeanzaje?
Hii mechi wala tusiombee iishe kwa magoli haya mawili tu bali tuwachape hawa jamaa goli nyingi iwezekanavyo...
Kuna mechi ya marudiano kwa hiyo lazima tuwe na akiba kubwa ya magoli...
Wafungaji nani??
Mbona Ukumbi umekaa kihasala hasala?
ngasa atoke
ngasa anakosa goli la wazi yeye na kipa kichwa chake kinaenda nje