Taifa Stars Vs Malawi

Taifa Stars Vs Malawi

Timu zinarejea tena uwanjani kwa kumalizia mngwe ya pili.
 
Jamani, hivi hawa wachezaji wanatoka club zipi? 3.Haji Mwinyi; 6.Himid Mao; 11.Farid Mussa
Haji mwinyi anachezea Yebo yebo na hao wawili (Mao & Musa) wanachezea Timu ya Mabosi aka wazee wa mabadiliko aka Azam.
 
Hii mechi wala tusiombee iishe kwa magoli haya mawili tu bali tuwachape hawa jamaa goli nyingi iwezekanavyo...

Kuna mechi ya marudiano kwa hiyo lazima tuwe na akiba kubwa ya magoli...

Na hivo ya marudio ndo decisive match
 
ngasa anakosa goli la wazi yeye na kipa kichwa chake kinaenda nje
 
Duhh!! Ngasa anakosa goli la wazi. Anapiga kichwa fyongo baada ya kubaki yeye na kipa wa Malawi.
 
Back
Top Bottom