Taifa Stars Vs Malawi

Wakuu nje. ya mada kidogo hivi kutangazwa kwa Mkwasa kuwa kocha mkuu ameachia madaraka pale yanga ama anaendelea?
 
malawi wanafanya mabadiliko


Eeh, wamechagua Ukawa? Kweli huu ni mwaka wa neema kwa kila mwafrika mpenda maendeleo. Kutawaliwa na chama kimoja karibia miaka 60 inafanya nchi kuwa ya kijinga. Hongereni Malawi kwa kuhamua kubadirika.
 
Ulimwengu out, Ibrahim Hajib in
 
Wakuu nje. ya mada kidogo hivi kutangazwa kwa Mkwasa kuwa kocha mkuu ameachia madaraka pale yanga ama anaendelea?

Tayari kaachia ngazi, Yanga hatuna pingamizi lolote, tunamtakia kila la heri katika jukumu la kuiongoza Taifa Stars.
 
Bora useme tatizo lako nini huenda ukapata msaada

Tatizo ni kwann wanachezesha yanga Una muigizaji hajibu dk za mwisho umeona impact yake kwa d.k 3 alizoingia
 
..nahamu ya kuuliza baada ya malawi wanafata nani...ila ngoja kidogo tufunge la tatu..
 
full time:tanzania 2-0 malawi
18'samatta
21'ulimwengu
 
Ndemla, Ibrahimu Haji = simba
Kapombe, Himid Mao, Farid Musa = azam fc
Samatta, Ulimwengu = TP Mazembe

Taja wachezaji wote waliocheza Leo na kuingia sub mechi ya Leo na club zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…