Hivi Mwakyembe amewahi kufanikiwa katika lipi ?
Kila jambo ni kubuuuuuumaaaaaaaaYa kweli hayo?!
Wazee wa kukurupuka!!
Sio kweli kuwa uwanja ni kikwazo, kwakuwa viwanja vyote vinajulikanaOctober 9, 2018
Dar-es-Salaam, Tanzania
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe amesema Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania – Taifa Stars kitaondoka usiku wa leo kuelekea mjini Praia, Cape Verde kwa ndege ya kukodi kuifuata timu ya taifa ya huko kwa ajili ya michuano ya kufuzu kwa michuano ya AFCON inayotarajiwa kufanyika mapema mwakani. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea kambi ya timu hiyo Waziri Mwakyembe amesema, mabadiliko ya safari hiyo kutoka Dream Liner na kuamua kukodi ndege yanatokana na ufinyu wa uwanja wa ndege wa Mjini Praia ambao hauwezi kutua ndege kubwa. Aidha Waziri Mwakyembe amewataka wachezaji wa Taifa stars wakacheze kwa kujituma ili kuibuka na ushindi katika mchezo huo huku akiwasihi watanzania kuiombea timu hiyo. Kwa upande wake Rais wa TFF Wallace Karia na Nahodha Msaidi wa Taifa Stars Himidi Mao wameelezea maandalizi ya mchezo huo.
Habari & Video kwa hisani kubwa ya:
Source: Global TV Online
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uwanja hautoshi au dege litakwenda kwa hasara?
Ushamba mzigo.
Nmeamin ule msemo wa "njia ya muongo ni fupi"Cheki madege makubwa uwanja wa kimataifa wa Cape Verde kwa jina la Praia Nelson Mandela international airport (RAI) ikiwemo hili la shirika la ndege la Cape Verde, Cabo Verde Airlines. Uwanja wa kimataifa wa Cape Verde ulipanuliwa mwaka 2012 na kuwekewa vifaa vya kisasa kuhudumia ndege zote kubwa pamoja na ongezeko la abiria kutokana na kisiwa hicho kuwa kivutio kwa utalii wa kimataifa.
Kumdanganya chizi nae kwamba ni kichaa kwelikweliHivi Mwakyembe amewahi kufanikiwa katika lipi ?
Ndio,tulitangaziwa hivyo!Nauli tukaambiwa dola 1500 mpaka dola 2000!Kwani walijuwa wataenda na dream liner ?????
Sema hivi. Dereva wetu ndiyo mdogo kutua kwenye uwanja huo mkubwa kumzidi.Uwanja wa ndege cape vede ni mdogo!??????
Walipokuwa wanatwambia tutakwenda na ndege yetu walikuwa hawaujui huo uwanja???
Lakini kubwa ni kwamba,wametudanganya kabisa,uwanja wa ndege wa cape vede ni international airport, sio kweli kwamba hauna uwezo wa kupokea dream liner!!!
Watwambie tu kuwa bwana mkubwa amekataa!!!
Atakayebisha hili alete ushahidiHivi Mwakyembe amewahi kufanikiwa katika lipi ?
Na bado najua 2020 kuna wagombea ubunge watasema jiwe atakuja na flyover huku kijijiniNdio,tulitangaziwa hivyo!Nauli tukaambiwa dola 1500 mpaka dola 2000!
upo sahihi ...... ina maana hawakujua tangu mwanzo kuwa wanna ni mdogo ?.... mpaka hata kukata ticket? uwongo huu ni kiboko" Dream Liner na kuamua kukodi ndege yanatokana na ufinyu wa uwanja wa ndege wa Mjini Praia ambao hauwezi kutua ndege kubwa" mmh sijawahi kushuhudia uongo wakijinga kama huo....badala ya kusema abiria wakuchangia wamekosekana hizo $1500 na 2000 sio mchezo kwa usawa hu....cape verde haina kiwanja cha kimataifa Dreamliner kutua ni kichekesho
upo sahihi ...... ina maana hawakujua tangu mwanzo kuwa wanna ni mdogo ?.... mpaka hata kukata ticket? uwongo huu ni kiboko
Njia ya mwongo fupi......Routes
There are 192 flights on 28 different routes from Praia Nelson Mandela International Airport, connecting RAI to 27 different cities in 14 different countries. The most popular routes connect Praia
Aeroporto internacional da Praia Cabo Verde
Icelandair lands at Praia Nelson Mandela airport
Kwaiyo mtu alipe dola 1,500 halafu utegeme apige makelele uwanjani dk 90Ndio,tulitangaziwa hivyo!Nauli tukaambiwa dola 1500 mpaka dola 2000!