Taifa Stars waenda Cape Verde bila Dreamliner

Weka details za airport hiyo... "Nelson Mandela International " na sio mapicha yasio mwanzo wala mwisho!
 
Mwakyembe anaweza kuwa msanii kwa lingine! Mkuu Bobani jiongeze. Urefu unaotakiwa kwa Boeing 787-8 kuruka ni 2600m. Uwanja wa Nelson Mandela Praia ni 2100m. Kama sijakosea!


 
Hivi Mwakyembe anaweza kurudishwa chuo kufundisha na akatoa product kweli?
 
Kufeli kila kitu ni aibu sana, mlianza kutangaza safari hadi watu walijitoa kwenda kushabikia tena kwa gharama zao wenyewe, leo mnakuja na ngonjera, hivi mlishindwa kufanya utafiti kabla ya matangazo?
 
wanakashifu uwanja wa watu huu uchuro timu yetu itafungwa.
 
Akili za namna hii haziwezi kujenga viwanda hata siku moja.
Inabidi wapande Yale mabombadia ya mapanga Kwanza,hawawezi kupanda kubwa wakati hawajapanda ndogo,so wakirudi ndio tutawapa ofa ya bure kwenda mwanza kwenye mechi ya mbao fc.
 
Watu wenye uelewa mnakaa kwenye mitandao ..tu ebu njoo ata mtaani mkawaelimishe watanzania bhana.
 
Airbus A380-800 Emirates emergency landing at JNIA Dar es Salaam, Tanzania
Source: Northern TV
Different aircraft types have different power/weight ratios that determine how quickly they can become airborne, and how much runway they need. The takeoff runway length requirement for the Airbus A380-800 is 2900 metres. For a Boeing 747-8 the figure is 3050 metres.12 Oct 2017

Boeing 787-8 requires a runway length of between 4400ft - 5000ft Boeing 787-9 requires a runway length of between 4400ft - 6200ft (1,889 meters).
 





Shirika la ndege Cape Verde Airline wana madege makubwa ya abiria kuliko ndege zetu na wanatumia viwanja vyao vyenye sifa za kimataifa bila shida.
 

Attachments

  • 1539110107987.png
    262.5 KB · Views: 23
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…