OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe amesema Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania – Taifa Stars kitaondoka usiku wa leo kuelekea mjini Praia, Cape Verde kwa ndege ya kukodi. mabadiliko ya safari hiyo kutoka Dream Liner na kuamua kukodi ndege yanatokana na ufinyu wa uwanja wa ndege wa Mjini Praia ambao hauwezi kutua ndege kubwa
My Take 1
Mwakyembe anadanganya kwa maslahi ya nani?
My Take 2
Ila wakuu Tanzania inachekesha aisee
Waje kwa kweliTff come this way
Nakuja mda si mrefuNjoo nyumbani kwangu muda huu na mabegi yako nikupe tiketi
Msema ukweli ni mkuu Barafu ngoja aje!Moderator oneni huruma kuunga thread
Asante Mungu, bora imebuma
Kwi! Kwi! Kwi!
Hivi Mwakyembe amewahi kufanikiwa katika lipi ?
Inabidi wapande Yale mabombadia ya mapanga Kwanza,hawawezi kupanda kubwa wakati hawajapanda ndogo,so wakirudi ndio tutawapa ofa ya bure kwenda mwanza kwenye mechi ya mbao fc.Akili za namna hii haziwezi kujenga viwanda hata siku moja.
Mmh, hapa inaweza kuingia kichwaniKuna kesi ya TANESCO, mahakama ya Singapore imetoa amri mali ya Tz ikamatwe mahali kokote. Msije mkashanga hii dreamliner likaishia kufanywa daladala.
Malizia tu wakili msomiSawa. Lakini...