Taifa Stars ya Jana wangepangwa Wachezaji wengi ya Yanga SC tungefungwa hata Goli / Bao 15 Hongera Kocha

Hivi kule congo na misri mlipigwa jumla ya goli ngapi?
 
Kote umepatia ila ulimpomsema tu Mwanangu mwenyewe Kiungo bora Mkabaji nchini Tanzania Jonas Gerald Mkude Xavi Hernandez umenikwaza.
 
Kuna 'Mijitu' ni 'Mijuha' hapa hadi najiuliza kwanini CORONA haikuondoka nao tu. Hivi Taifa Stars imeshawahi Kufungwa Goli 5 na Misri na Congo?
Wachezaji wa simba washafungwa hamsa hamsa ambao leo unawasifia kuzuia
 
Wachezaji wa simba washafungwa hamsa hamsa ambao leo unawasifia kuzuia
Je, hizo Timu hizi Mbili zilizotufunga idadi hiyo ya Magoli / Mabao na zenyewe zilipokuja Kwetu hapa Tanzania zilitoka bila Kufungwa na Simba SC?
 
1v0 dhidi ya Tunisia unasema timu imevurunda ?
 
1v0 dhidi ya Tunisia unasema timu imevurunda ?
katikati team ilikuwa mbele haiendi hadi boko anageuka beki,kama wangekuwa na ubunifu kina sure boy hata goal moja tungepata,shukrani sana kwa mabeki na manula haswa manula
 
Kote umepatia ila ulimpomsema tu Mwanangu mwenyewe Kiungo bora Mkabaji nchini Tanzania Jonas Gerald Mkude Xavi Hernandez umenikwaza.
kapoteza sana mipira jana na bahati mbaya sana huwaga simkubali hata akipangwa mechi za simba
 
Hivi wachezaji wa simba na umri ule wataenda ulaya gani acha kuchezea akili za watu misimu mitano upo simba leo hii useme unaweza kucheza ulaya labda ulaya msimbazi
Wanaweza kwenda ulaya kwenda kufanya kazi za ndani kama kudeki na kunyoosha nguo.
 
Kabla ya mechi ulimpongeza Samatta kwamba kajivunja ili kukwepa fedhea ya goli nyingi. Mpira umeisha, umekuja na propaganda nyingine. Hebu kunywa maji mengi alaf lala.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
kapoteza sana mipira jana na bahati mbaya sana huwaga simkubali hata akipangwa mechi za simba
Mimi ni shabiki wa yanga ila umeongea point sana Mkude amechuja sana anaonekana timu ikiwa na mpira tu' ni wakati wa kumwachia namba ndemla maana dogo anavitu vingi anakaba, ana piga mashuti ya mbali,mzuri kwenye mashambulizi.
 
Kila mwenye kujua Soka vyema na kabahatika pia kulicheza huwezi kutompanga Jonas Mkude na ukampanga 'Mla Halua' Feisal Salum. Hujishtukii?
Mimi nimecheza mpira mpaka Ulaya ila ankle ilinisumbua najua kuna watu walikaza...Feisal sio defensive midfielder ndio maana Yanga wana Tonombe
 
kapoteza sana mipira jana na bahati mbaya sana huwaga simkubali hata akipangwa mechi za simba
Kakuchapia / Kakukanyagia / Kakutindulia / Kakungonolia Demu wako au Mkeo labda? Ukisema 'humkubali' Mkude wenye Akili 'tutakudharau' sana.
 
Kakuchapia / Kakukanyagia / Kakutindulia / Kakungonolia Demu wako au Mkeo labda? Ukisema 'humkubali' Mkude wenye Akili 'tutakudharau' sana.
punguza mastusi huwezi changia mada bila kero???????anakimbia kama ana majipu wenye miguu,anachelewa kukaba hajui ku tackle akikutana na wachezaji wenye kasi yeye ni kunyanyua miguu na kukita, he is a weak DM hamna kitu pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…