Taifa Stars yabamizwa 1-0 Equatorial Guinea na kukosa ticket ya kushiriki AFCON 2022...

Taifa Stars yabamizwa 1-0 Equatorial Guinea na kukosa ticket ya kushiriki AFCON 2022...

Beki zipo imara

 
Kipindi cha kwanza kimeisha

 
Hadi HT shoot on target 0, shoot off target 0. Msuva & Samatta wako holiday.
 
Naangalia mpira hapa wa Equatorial Guinea vs tanzania naona kabisa hawa Equatorial Wana jambo lao mana sio kwaukosaji huu wa magoli

Watanzania tunahitaji dua zenu tupate angalau draw.
 
Bongo mpira bado sana ni mara elfu simba ingekuwa timu ya Taifa tujipooze sio kwa upuuzi huu unaochezwa na the so called Taifa Stars Bullshit?
 
Back
Top Bottom