Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si dhani kama tutashinda hii match, tukijitahi ni sare0-0 ila Tz inapumulia mashine, wasipobadirika wachezaji tunapigwa
Labda second half,ila saizi hakuna hata shot on target hata la bahati mbayaSi dhani kama tutashinda hii match, tukijitahi ni sare
Farid hajaitwa. Maana huwa naona anajitahidi katika hiloamekosekana mido wa kupiga pass za mwisho kama kina Chama na Bwalya
Chikwende tayari hukoChama kafanya yake huko Zambia