Walionywa hawakusikia, waliulizwa mambo serious wakatoa majibu mepesi. Wanaambiwa nchi inaibiwa wanatoa majibu ya kejeri na kuudhi, wakadiriki hadi kujitungia sheria za kulipa mafao wake wa wenza ilihali wamama wajawawazito wanakufa mahospitalini kwa kukosa huduma bora za afya, watoto hawana vyumba vya madarasa, wahitimu hawana ajira. Wanaambiwa watu wanatekwa na kupotezwa wanatoa majibu mepesi na ya kuudhi “mbona wewe hujatekwa na kupotezwa?” Sasa nchi inaangamia kwa sababu ya jeuri na kiburi cha watu wachache.
Tanzania will never be the same again. Nothing will ever fix this, the Tanzania we know is no more.
Tanzania will never be the same again. Nothing will ever fix this, the Tanzania we know is no more.