Taifa tunalipoteza hivihivi kwa kufanya mzaha kwenye mambo ya msingi

Taifa tunalipoteza hivihivi kwa kufanya mzaha kwenye mambo ya msingi

Ninachoona mwisho wa siku kutatokea vita ya kwa kutumia silaha. Vyombo vya ulinzi vitagawanyika na mwisho wa siku watapigana wao kwa wao. Hapo ndo sudan au syria itazaliwa tanzania kijinga tu. Watu wachache wana uroho wa madaraka wanatuingiza kwenye upuuzi na mateso. CCM waelewe maandamano yale hayakuwa ya vyama.
Wamekaza Ubongo wakati wanajua fika jeshi limeshakuwa la pande mbili. Upo upande wa wahuni na upo upande wa raia.
 
Walionywa hawakusikia, waliulizwa mambo serious wakatoa majibu mepesi. Wanaambiwa nchi inaibiwa wanatoa majibu ya kejeri na kuudhi, wakadiriki hadi kujitungia sheria za kulipa mafao wake wa wenza ilihali wamama wajawawazito wanakufa mahospitalini kwa kukosa huduma bora za afya, watoto hawana vyumba vya madarasa, wahitimu hawana ajira. Wanaambiwa watu wanatekwa na kupotezwa wanatoa majibu mepesi na ya kuudhi “mbona wewe hujatekwa na kupotezwa?” Sasa nchi inaangamia kwa sababu ya jeuri na kiburi cha watu wachache.

Tanzania will never be the same again. Nothing will ever fix this, the Tanzania we know is no more.
Shida ni kuwapa madaraka wasio faa
 
Una hoja mkuu ,ccm ilifika mda kuanzia kwenye mashina kila akawa kambale, uchawa wa kutisha, kiburi cha kutisha.

Walipopewa zile pikipiki sasa na baskeli yani ndo kabisa kila mtu mwenye chombo akijiona ndo yeye.

Ila mpaka sasa
1.Zile pikipiki sizioni zikitamba na baskeli pia
2. Wanasema wameshinda kwa kishindo ila wavaa sare za ccm kama miaka yote baada ya uchaguzi siwaoni

Najiuliza sijui hali hii ikiendelea madiwani, wabunge watafanya kazi vipi,
 
Kuna kipindi na nyakati inabidi tuipitie ili kufix na kuirekebisha nchi yetu kwa miongo mingi ijayo
 
Ninachoona mwisho wa siku kutatokea vita ya kwa kutumia silaha. Vyombo vya ulinzi vitagawanyika na mwisho wa siku watapigana wao kwa wao. Hapo ndo sudan au syria itazaliwa tanzania kijinga tu. Watu wachache wana uroho wa madaraka wanatuingiza kwenye upuuzi na mateso. CCM waelewe maandamano yale hayakuwa ya vyama.
Au tutazalisha Waasi
 
Walionywa hawakusikia, waliulizwa mambo serious wakatoa majibu mepesi. Wanaambiwa nchi inaibiwa wanatoa majibu ya kejeri na kuudhi, wakadiriki hadi kujitungia sheria za kulipa mafao wake wa wenza ilihali wamama wajawawazito wanakufa mahospitalini kwa kukosa huduma bora za afya, watoto hawana vyumba vya madarasa, wahitimu hawana ajira. Wanaambiwa watu wanatekwa na kupotezwa wanatoa majibu mepesi na ya kuudhi “mbona wewe hujatekwa na kupotezwa?” Sasa nchi inaangamia kwa sababu ya jeuri na kiburi cha watu wachache.

Tanzania will never be the same again. Nothing will ever fix this, the Tanzania we know is no more.
Tz ya Amani japo ilikuwa ya uvumilivu na uoga zaidi, imepotea, haitarudi tena!
Tuna serikali sisi? Zinapotolewa kauli zinazoashiria uuaji hasa na ccm, wakuu wa mikoa, jeshi la polisi, rais (mgombea), na hakuna hatua zinazochukuliwa.
Idara ya usalama wa taifa, tiss, isiyoweza kutathmini hali ya usalama wa wananchi, zaidi ni kujikita kwenye usalama na maslahi ya rais, ingeshindwa kujua ambayo yangetokea?
Vyombo vya ulinzi vyote, vimesahau wajibu wao, ambao ni ulinzi wa watu, WaTz, ulinzi wa nchi, Tz, na Mali zao au zake!
Tumedumbukia kwenye machafuko, mpaka mauaji. Vyombo vya kuwajibishana kwa uzembe huu ni vipi? Rais na spika hayupo, wapo kwenye kampeni za kisiasa, je jaji mkuu wajibu wake ni nini hawa wengine wakiwa nje ya ofisi?
Tunatuliza aje ghasia? Si kwa mabomu ya machozi na risasi bandia za mpira. Si kwa maji yanayowasha? Si kwa uwepo tu wa wana vyombo vyetu vya usalama? Kama kuna vituo vyao kila kata au mtaa, na wenyewe wapo, na magari yao ya doria, kwa nini hawakufanya wajibu wao?
Tumejikuta katikati ya ghasia, na mauaji! Nani wa kumuwajibisha mwenzie? Jaji mkuu, isingekuwa busara baada ya kuona mauaji ya raia wasio na silaha, yakifanywa na taasisi yenye wajibu wa kuwalinda, kutoa tamko, amri ya kusitisha uuaji? Amri kwa wakuu wa hizi taasisi, waache mara moja kutumia risasi za moto? Amri kwa wakuu wa hizi taasisi, kufanya na kukupatia taarifa ya nani katoa agizo la uuaji, nani walioshiriki kuua, Askari wote, silaha walizikabidhiwa, kabla zilikuwa na vilipuzi gani, vingapi, na zimerudishwa na hali gani? Waeleze walikuwa maeneo gani na wameshambulia au wameua wangapi? Nani wa kuwajibika baada ya mauaji haya?
Jaji mkuu, isingekuwa busara kupata taarifa za vituo vya kutoa huduma za afya, majeruhi, waliouawa, na utambulisho wao, na hata picha ili zisambazwe, ndugu zao wajue.
Uhalifu ukitokea, hakukuwa na jeshi lolote, baada ya siku, ndio jeshi linapita na kupopoa WaTz kwa risasi! Ndio majeshi yetu yanavyofanya kazi yake hivi? Wakiwa na ushahidi gani wa wahusika wa uhalifu? Wanapita nyumba kwa nyumba, wazee, vijana, watoto, wake kwa waume, wamepigwa risasi, kichwani, tumboni, mguuni, ndio silaha zetu zinavyotumika hivyo, kwa raia, wasio na hatia! Nani wa kuwawajibisha?
Baada ya yote, tunaona aliyetangazwa kuwa rais anajigamba kuhusu kupimana mabavu Kati yake na WaTz, wananchi. Kauli hizi, si za kufanyiwa uchunguzi?
Nauliza tena, nchi yetu Tz, ina serikali?
 
Back
Top Bottom