Kwa hali jinsi inavyoendelea hakuna mwekezaji ataweka mtaji wake hapa Tanzania, hata wale tulionao kwasasa wapo kwenye stress za kutosha kuhofia kupoteza mitaji yao.
Nchi hii inaelekea pabaya
Nothing will ever fix thisNinachoona mwisho wa siku kutatokea vita ya kwa kutumia silaha. Vyombo vya ulinzi vitagawanyika na mwisho wa siku watapigana wao kwa wao. Hapo ndo sudan au syria itazaliwa tanzania kijinga tu. Watu wachache wana uroho wa madaraka wanatuingiza kwenye upuuzi na mateso. CCM waelewe maandamano yale hayakuwa ya vyama.
Hao wote wanalinda maslahi yaoSamia
Nchimbi
Mwinyi
Kikwete
Nkunda
Wambura
Mliro
Mabeyo
Kayanza
Jaji mkuu
MOMBO
mmeshindwa kutuliza vichwa kabisa kwanini mnaruhusi haya yanatokea?
Kwa kumwaga damu za watu hili haliwezi kupitia hivihiviHao wote wanalinda maslahi yao
Mungu ibariki Tanzania.Walionywa hawakusikia, waliulizwa mambo serious wakatoa majibu mepesi. Wanaambiwa nchi inaibiwa wanatoa majibu ya kejeri na kuudhi, wakadiriki hadi kujitungia sheria za kulipa mafao wake wa wenza ilihali wamama wajawawazito wanakufa mahospitalini kwa kukosa huduma bora za afya, watoto hawana vyumba vya madarasa, wahitimu hawana ajira. Wanaambiwa watu wanatekwa na kupotezwa wanatoa majibu mepesi na ya kuudhi “mbona wewe hujatekwa na kupotezwa?” Sasa nchi inaangamia kwa sababu ya jeuri na kiburi cha watu wachache.
Tanzania will never be the same again. Nothing will ever fix this, the Tanzania we know is no more.
Walionywa hawakusikia, waliulizwa mambo serious wakatoa majibu mepesi. Wanaambiwa nchi inaibiwa wanatoa majibu ya kejeri na kuudhi, wakadiriki hadi kujitungia sheria za kulipa mafao wake wa wenza ilihali wamama wajawawazito wanakufa mahospitalini kwa kukosa huduma bora za afya, watoto hawana vyumba vya madarasa, wahitimu hawana ajira. Wanaambiwa watu wanatekwa na kupotezwa wanatoa majibu mepesi na ya kuudhi “mbona wewe hujatekwa na kupotezwa?” Sasa nchi inaangamia kwa sababu ya jeuri na kiburi cha watu wachache.
Tanzania will never be the same again. Nothing will ever fix this, the Tanzania we know is no more.
Na bado wapo viburi na majeuri wanatujia humu na vihoja vyepesi vyepesi badala ya kujibu hoja nzito na walizozipuuza hata kulifikisha taifa hapa.Walionywa hawakusikia, waliulizwa mambo serious wakatoa majibu mepesi. Wanaambiwa nchi inaibiwa wanatoa majibu ya kejeri na kuudhi, wakadiriki hadi kujitungia sheria za kulipa mafao wake wa wenza ilihali wamama wajawawazito wanakufa mahospitalini kwa kukosa huduma bora za afya, watoto hawana vyumba vya madarasa, wahitimu hawana ajira. Wanaambiwa watu wanatekwa na kupotezwa wanatoa majibu mepesi na ya kuudhi “mbona wewe hujatekwa na kupotezwa?” Sasa nchi inaangamia kwa sababu ya jeuri na kiburi cha watu wachache.
Tanzania will never be the same again. Nothing will ever fix this, the Tanzania we know is no more.