Tairi gani za kichina zina afadhali?

Dunlop huipati kwa 120,000 mzee! Aandae 155,000 hapo au zaidi ila its the best tyre ever kwa mid class! Ukiipata Japan Quality haikai ikisumbue nimeitembelea mpaka imeisha haijawahi kukata waya wala pancha hata moja!
Dunlop ina tabia ya kulika upande mmoja hasa kwa ndani ...nyaya kama zote nje nje unasubiria bust la maana tu[emoji848]



Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kipindi cha nyuma kabla ya ving'amuzi na tochi bus za mikoani tairi za mbele zilikuwa ni michelin halafu nyuma ndio wanaweka za kichina.
 
nilifungaga triangle in 2019, mpaka leo bado ninazo
 
Mkuu kwa Dunlop ya Japani sawa ila ya South Africa mi nakushauri ni bora tu ununue Boto wapo vizuri zaidi na bei yao ni cheap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…