Tairi gani za kichina zina afadhali?

Tairi gani za kichina zina afadhali?

Dunlop huipati kwa 120,000 mzee! Aandae 155,000 hapo au zaidi ila its the best tyre ever kwa mid class! Ukiipata Japan Quality haikai ikisumbue nimeitembelea mpaka imeisha haijawahi kukata waya wala pancha hata moja!
Dunlop ina tabia ya kulika upande mmoja hasa kwa ndani ...nyaya kama zote nje nje unasubiria bust la maana tu[emoji848]



Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Toyota noah old model,205/70R15
Kama unataka tyre ngumu funga dunlop 195/R15C tyre ya kazi hiyo ambayo inafunga sana kwenye HIACE ni ya South AfricaView attachment 1820379
20210616_124522.jpg
View attachment 1820380
 
Kipindi cha nyuma kabla ya ving'amuzi na tochi bus za mikoani tairi za mbele zilikuwa ni michelin halafu nyuma ndio wanaweka za kichina.
 
nilifungaga triangle in 2019, mpaka leo bado ninazo
 
Gari yangu moja sasa ina miaka mitatu,ilikuja na Dunlop nikazitumia mwaka nikasafiri nazo zikaishia huko nilipoenda. Nikanunua Mchina, moja Boto matatu Road whatever hata sikumbuki. Huu mwaka wa pili hazijawahi hata kupata pancha na nina safari za hapa na pale.
Gari ingine imekuja na Dunlop miezi sita sasa zinapiga trip nafikiri nitazibadili soon niweke Dunlop nione.
Mkuu kwa Dunlop ya Japani sawa ila ya South Africa mi nakushauri ni bora tu ununue Boto wapo vizuri zaidi na bei yao ni cheap.
 
Back
Top Bottom