danhoport
JF-Expert Member
- May 20, 2020
- 1,984
- 4,502
Size gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Size gani?
Dunlop ina tabia ya kulika upande mmoja hasa kwa ndani ...nyaya kama zote nje nje unasubiria bust la maana tu[emoji848]Dunlop huipati kwa 120,000 mzee! Aandae 155,000 hapo au zaidi ila its the best tyre ever kwa mid class! Ukiipata Japan Quality haikai ikisumbue nimeitembelea mpaka imeisha haijawahi kukata waya wala pancha hata moja!
Shida sio tairi hapo! Check wheel bearing na suspension setup yako, yangu imeisha like a piece of cake 😅Dunlop ina tabia ya kulika upande mmoja hasa kwa ndani ...nyaya kama zote nje nje unasubiria bust la maana tu[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
140K kwa R16 we una run size ngapi?
Toyota noah old model,205/70R15Hiyo tyre ya gari gani /size gani unayoulizia wewe? Mana umetaja rim size peke yake
zinapatikana wapi mkuu?used za dubai.Funga Used za japan zinazotka Dubai kwa 45000 utatembelea hata miezi 6 kama uchumi haujakaa sawa ila kama vizuri chana mfuko uchukue Bridgestone.
Funga Used za japan zinazotka Dubai kwa 45000 utatembelea hata miezi 6 kama uchumi haujakaa sawa ila kama vizuri chana mfuko uchukue Bridgestone.
zinapatikana wapi mkuu?used za dubai.
Bridgestone bei gani mkuu kwa 215/45/17
Kama unataka tyre ngumu funga dunlop 195/R15C tyre ya kazi hiyo ambayo inafunga sana kwenye HIACE ni ya South AfricaView attachment 1820379Toyota noah old model,205/70R15
si unajua noah zipo chinichini,je kwa hiyo tairi ya 195/15c gari haitakuwa chinichini sana mkuu?Kama unataka tyre ngumu funga dunlop 195/R15C tyre ya kazi hiyo ambayo inafunga sana kwenye HIACE ni ya South AfricaView attachment 1820379View attachment 1820381View attachment 1820380
Hii ni ndefu inainyanyua garisi unajua noah zipo chinichini,je kwa hiyo tairi ya 195/15c gari haitakuwa chinichini sana mkuu?
sababu ilikuwa nini?na kwa sasa kuna tochi wanafanyaje mkuu..Kipindi cha nyuma kabla ya ving'amuzi na tochi bus za mikoani tairi za mbele zilikuwa ni michelin halafu nyuma ndio wanaweka za kichina.
sababu ilikuwa nini?na kwa sasa kuna tochi wanafanyaje mkuu..
Zile zilikuwa zinahimili joto kutoka kwenye rim ambalo linasababishwa na mwendo mkali lkn sasa hivi hata zile zetu general tyre zingekuwepo zingefaa maana ni mwendo wa kobe.sababu ilikuwa nini?na kwa sasa kuna tochi wanafanyaje mkuu..
Mkuu kwa Dunlop ya Japani sawa ila ya South Africa mi nakushauri ni bora tu ununue Boto wapo vizuri zaidi na bei yao ni cheap.Gari yangu moja sasa ina miaka mitatu,ilikuja na Dunlop nikazitumia mwaka nikasafiri nazo zikaishia huko nilipoenda. Nikanunua Mchina, moja Boto matatu Road whatever hata sikumbuki. Huu mwaka wa pili hazijawahi hata kupata pancha na nina safari za hapa na pale.
Gari ingine imekuja na Dunlop miezi sita sasa zinapiga trip nafikiri nitazibadili soon niweke Dunlop nione.