Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Hili nimemuuliza mtaalam ngoja nisubr majibKadhalika kwa mabati ya kuezekea na ya kutengenezea mabodi ya magari
Geji 32 ni kama karatasi
Geji 30 ina thickness kubwa kidogo
Geji 28 ina thickness zaidi ya 30
Na kuendelea
2020 ndio kubwaaaIzo namba tu mkuu, iyo yenye namba kubwa ndio unaingia upepo mdogo.
Mf. Umri na mwaka aliozaliwa mtu aliyezaliwa 2020 na mtu aliyezaliwa 1989 yupi mkubwa?
Ndio logic iko hapa..Izo namba tu mkuu, iyo yenye namba kubwa ndio unaingia upepo mdogo.
Mf. Umri na mwaka aliozaliwa mtu aliyezaliwa 2020 na mtu aliyezaliwa 1989 yupi mkubwa?
Wa 2020 ndo ana miaka mingiIzo namba tu mkuu, iyo yenye namba kubwa ndio unaingia upepo mdogo.
Mf. Umri na mwaka aliozaliwa mtu aliyezaliwa 2020 na mtu aliyezaliwa 1989 yupi mkubwa?
Izo namba tu mkuu, iyo yenye namba kubwa ndio unaingia upepo mdogo.
Mf. Umri na mwaka aliozaliwa mtu aliyezaliwa 2020 na mtu aliyezaliwa 1989 yupi mkubwa?
Wa 2020 ndo ana miaka mingi