Tairi ya Gari upepo ni 35, Baiskeli ni 60 na Trekta lile kubwa kabisa ni 15.60. Why and How?

Tairi ya Gari upepo ni 35, Baiskeli ni 60 na Trekta lile kubwa kabisa ni 15.60. Why and How?

Tairi la baiskeli lina ukubwa mdogo pamoja na eneo dogo linalogusa chini (area of contact) hivyo uzito unaokwenda chini kutoka juu ya baiskeli huhitaji msaada zaidi due to its size it takes a small volume of air, so it is compressed to a higher pressure. In a similar way, the weight of a tractor is spread over a much larger contact area, so that area does not need as much pressure to support the machine, so correspondingly a lower pressure is applied.

Size is the key. A large area = low pressure, A small area = high pressure.
 
Ulichouliza hapa ndicho nilicho kijibu pale, Tire za trekta zile mbili ni kubwa zaidi kuliko tire za pick up.

Mfano
Ukikanyaga sindano mguu mmoja na msumali mguu mwingine mkandamizo mkubwa utakua kwenye sindano, na ndio itakayozama zaidi kwenye mguu, kwa sababu ya udogo wake.

Nimefuatikia comment zako, nadhani wewe ndo ulisoma Physics kuliko wengine waliokomenti.
 
Back
Top Bottom