Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 995
- 1,067
Ingekuwa ni hivyo basi upepo ukipungua kwenye gari ungekuwa unapanda, mbona hiyo gari yenye upepo 30/35/40 nk, upepo ukipungua inafika hata 20/10 nk.Izo namba tu mkuu, iyo yenye namba kubwa ndio unaingia upepo mdogo.
Mf. Umri na mwaka aliozaliwa mtu aliyezaliwa 2020 na mtu aliyezaliwa 1989 yupi mkubwa?
Na wanasema ukubwa ndio namba ndogo, mbona tairi za size 12, malori zinajaza upepo mpaka 130?