Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sielewi kabisa binafsi hii physics imenishinda, inakuaje Tairi la Gari normal Cars upepo wake kwa kutumia ile geji huwa zinaingia 30, 35 na nyingine kubwa kama cruser huingia 40, Baiskeli tairi lake kwa kutumia geji hiyo hiyo upepo wake unaingia 60, lile tairi kubwa kabisa la Trekta upepo wake unaingia 15 kwa kutumia Geji hiyo hiyo...
Mmmh..ngoja nisubiri wajuzi. Je, kizio Ni sawa? PSI au mm Hg
Hiyo geji ipo kwenye kizio gani?
- psi inayosomwa haimaanishi kiwango cha hewa kinachoingia kwenye tire, bali inamaanisha kiwango cha mkandamizo wa hewa kilicho kwenye tire.Sielewi kabisa binafsi hii physics imenishinda, inakuaje Tairi la Gari normal Cars upepo wake kwa kutumia ile geji huwa zinaingia 30, 35 na nyingine kubwa kama cruser huingia 40, Baiskeli tairi lake kwa kutumia geji hiyo hiyo upepo wake unaingia 60, lile tairi kubwa kabisa la Trekta upepo wake unaingia 15 kwa kutumia Geji hiyo hiyo.
Nimewaza kuhusu kipenyo hapana haiingii akilini.
Je! Kuna siri gani ya physics kwenye hili?
Umejibu vizuri sana!- psi inayosomwa haimaanishi kiwango cha hewa kinachoingia kwenye tire, bali inamaanisha kiwango cha mkandamizo wa hewa kilicho kwenye tire.
- Pressure= Force/Area, hii ni physics rahisi sana.
Na hii formula ndio inaelezea kwa nini baiskeli haipiti eneo lenye mchanga ila gari inapita au kwanini dump truck inapita eneo ambalo gali ndogo hazipiti. Tire ndogo inazalisha pressure kubwa ardhini kwa sababu ya area ndogo..
Ulichouliza hapa ndicho nilicho kijibu pale, Tire za trekta zile mbili ni kubwa zaidi kuliko tire za pick up.Umejibu vizuri sana!
Sasa husianisha ulichokieleza hapo na swali kwamba ni kivipi upepo wa tairi la trekta uwe na mgandamizo mdogo wakati upepo wa tairi la pickup uwe na mgandamizo mkubwa?
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Ukiwa na maana ya kwamba upepo kwenye tairi la trekta unaingia mwingi lakini mgandamizo wake ndio mdogo?Ulichouliza hapa ndicho nilicho kijibu pale, Tire za trekta zile mbili ni kubwa zaidi kuliko tire za pick up.
Mfano
Ukikanyaga sindano mguu mmoja na msumali mguu mwingine mkandamizo mkubwa utakua kwenye sindano, na ndio itakayozama zaidi kwenye mguu, kwa sababu ya udogo wake.
NdioUkiwa na maana ya kwamba upepo kwenye tairi la trekta unaingia mwingi lakini mgandamizo wake ndio mdogo?
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Kwanini tairi ya bus ni kubwa ila ina psi 120 na tairi ya kirikuu ni ndogo ila ina psi 35 (sina hakika)?Ndio
[emoji1][emoji1][emoji1] What a technical question.Kwanini tairi ya bus ni kubwa ila ina psi 120 na tairi ya kirikuu ni ndogo ila ina psi 35 (sina hakika)?
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28] najifunza kupitia kwako mkuu![emoji1][emoji1][emoji1] What a technical question.
- Richa ya kwamba mkandamizo kwenye tire unategemeana na size ya tire, lakini kuna factors nyingine kama uzito wa chombo chenyewe na material yaliyotumika kutengeneza hizo tires.
- Uzito wa chombo unapoongezeka pia mkandamizo kwenye tires unaongezeka, kwa experience yangu upana wa tires za gari dogo hautofautiani sana na upana wa tires za bus( huu upana ndio area inayoongelewa) japo kipenyo cha tires za bus ni kikubwa.
Units za hizo namba ni zipi?Sielewi kabisa binafsi hii physics imenishinda, inakuaje Tairi la Gari normal Cars upepo wake kwa kutumia ile geji huwa zinaingia 30, 35 na nyingine kubwa kama cruser huingia 40, Baiskeli tairi lake kwa kutumia geji hiyo hiyo upepo wake unaingia 60, lile tairi kubwa kabisa la Trekta upepo wake unaingia 15 kwa kutumia Geji hiyo hiyo.
Nimewaza kuhusu kipenyo hapana haiingii akilini.
Je! Kuna siri gani ya physics kwenye hili?
Unaelewa concept ya DENSITY kwenye ukubwa wa viwanja?? Yaan chenye lower density ni kikubwa kuliko chenye higher density.
Labda nikupe mfano rahisi tu. Tuseme tairi la Trekta lina uwezo au ujazo wa Units 5,000 za upepo lakini wewe ukaweka units 1,000 za upepo only. Hapo umeweka only 20% ya uwezo wake...
- Upepo kwenye tire unaact kama cusion, kama tire isingekua na upepo say ingekua ya chuma pressure ingekua moja tu iliyo kati ya tire na ardhi. Lakini uwepo wa upepo unatengeneza pressure ya pili ambayo iko ndani ya tire.[emoji28][emoji28][emoji28] najifunza kupitia kwako mkuu!
Tuchukulie hizi tairi mbili (ya bus na ya trekta) hazijafungwa kwenye gari na ziko empty..
Zikijazwa upepo, nini kinafanya ya trekta iwe na mgandamizo mdogo kuliko ya bus? Naomba unieleweshe katika uhalisia
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Unaelewa concept ya DENSITY kwenye ukubwa wa viwanja?? Yaan chenye lower density ni kikubwa kuliko chenye higher density.
Labda nikupe mfano rahisi tu. Tuseme tairi la Trekta lina uwezo au ujazo wa Units 5,000 za upepo lakini wewe ukaweka units 1,000 za upepo only. Hapo umeweka only 20% ya uwezo wake....
Tairi la vits vs land cruiser ?Mimi kwa taaluma sio Engineer ni Muhasibu, lkn kwa sababu majibu ya Maengineer hayaeleweki ngoja nijaribu kujibu kimtazamo wangu.
PSI definition: PSI is a unit of pressure expressed in pounds of force per square inch of area. Kwa nilivyoelewa unit of pressure iko constant kwa hiyo kinachobadilika ni area, na wote tunajua area ya tairi la baiskeli ni ndogo ukilinganisha na area ya tairi la gari au tractor. Hivyo basi area inavyoongezeka PSI inapungua kwa sababu pressure iko constant haibadiliki na ndio sababu PSI ya tairi la baiskeli ni kubwa kwa sababu area yake ni ndogo.
Ni mtazamo wangu wa kihasibu[emoji3][emoji3][emoji2957][emoji3][emoji3][emoji3]
hii fizikia ya wapi we mzee?Ebu tuanze na Volume & Pressure.
- the greater the Volume of air in the tyre, the less Pressure it can withstand.
Kwa hiyo kutokana na Ukubwa wa tairi la trekta, Pressure itakuwa ndogo ukilinganisha na tairi la baiskeli ambalo Volume yake ni ndogo.