Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 995
- 1,067
Ingekuwa ni hivyo basi upepo ukipungua kwenye gari ungekuwa unapanda, mbona hiyo gari yenye upepo 30/35/40 nk, upepo ukipungua inafika hata 20/10 nk.Izo namba tu mkuu, iyo yenye namba kubwa ndio unaingia upepo mdogo.
Mf. Umri na mwaka aliozaliwa mtu aliyezaliwa 2020 na mtu aliyezaliwa 1989 yupi mkubwa?
Ebu tuanze na Volume & Pressure.
- the greater the Volume of air in the tyre, the less Pressure it can withstand.
Kwa hiyo kutokana na Ukubwa wa tairi la trekta, Pressure itakuwa ndogo ukilinganisha na tairi la baiskeli ambalo Volume yake ni ndogo.
Inversely proportionSwali zuri Sana. Ngoja wataalam wake tuone inakuaje.
Ila maudamvu udamvu yangu.
Pressure is equal to force over area.
The higher the area the lower the pressure.
Sasa ule mji tairi wa trekta una bonge la area linagusa ardhi. Pressure ni ndogo kwa maana hiyo. Baiskeli kaji area kadogooo pressure kubwaaaa.
Sijui lkn.
Na kwaniniHapa nionacho Logic ya haraka hapa ni kwamba namba ikiwa inaonekana kubwa kitarakimu ndio ndogo ktk volume na mchawi ni meter ilivyotengeneza isome ila sio kilichomo ndani...and vice versa
Ili kuwa tofauti tuNa kwanini
Sawa mkuu ila tatizo halipo hapa., yaani hatuzungumzii hiloJaman upepo kwnye tair za gar unaandikwa kweny unabavu wa tair husika. So weka upepo kutokana na maelekezo ya tairi. Kuna 35,44,50 51.na kuendelea .hii ya kusema mbele ni 35 mmetoa wap.mtaharibu tairi zetu kufanya ziishe haraka pia mtamaliza mafuta yenu kiholela kbsa.
Ttzo mafundi sio wa kufatilia mambo yanabadilika lazim kuwa updated.
Kinacho pimwa ni pressure na si densityUnaelewa concept ya DENSITY kwenye ukubwa wa viwanja?? Yaan chenye lower density ni kikubwa kuliko chenye higher density.
Labda nikupe mfano rahisi tu. Tuseme tairi la Trekta lina uwezo au ujazo wa Units 5,000 za upepo lakini wewe ukaweka units 1,000 za upepo only. Hapo umeweka only 20% ya uwezo wake...