Taiwan watunishia China misuli, meli zao za kivita zatazamana na za China

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ni mwendo wa kutishiana misuli na mikwara, Mchina amepiga piga mabomu kwenye bahari, ila sasa amesogezewa meli za Taiwan ole wake aguse moja, leo ndio siku ya mwisho Mchina anageuza....

================

TAIPEI (Reuters) -Chinese and Taiwanese warships played high-seas "cat and mouse" on Sunday ahead of the scheduled end of four days of unprecedented Chinese military exercises launched in reaction to a visit to Taiwan by the U.S. house speaker.

Nancy Pelosi's visit last week to the self-ruled island infuriated China, which responded with test launches of ballistic missiles over the island's capital for the first time and the cutting of communication links with the United States.

Some 10 warships each from China and Taiwan sailed at close quarters in the Taiwan Strait
 
Taiwan ni mtoto mdogo Sana kwa China.china ikiamua inaipiga kirahisi sana .
 
Siyo kirahisi kama unavyodhani..

Kimsingi choko choko zote hizi lengo kuu ni kumwondoa Mchina kwenye vita ya Russia na Ukraine maana alishaonesha kuwa upande wa Russia.. Sasa na yeye ahangaike na ya kwake...
Mchina hata hausiki na Vita vya Ukraine Bali Tu anashirikiana kiuchumi tu na warusi na wataendelea kushirikiana.
 
Haya ndiyo ya Urusi na Ukraine mpaka sasa ngoma ngumu wanazidi kuwapa watu sababu ya kupandisha vitu bei huku
Ngoma ngumu kwa nani wakati warusi wanaendelea kuchukua maeneo ya Ukraine?mwisho wa siku Ukraine itabaki Kiev Tu.
 
Mkuu hiyo vita urusi hatashinda anatutia tu ugumu wa maisha huku putin aliingia kichwa kichwa tu hakuwa na mpango wakupiga muda mrefu mpaka sasa kashapoteza resources nyingi na a naingia gharama zisizo na msingi kijinga jinga tu
 
Kwa kinachoendelea Ukraine dhidi ya Russia Kwa sasa siioni China ikiivamia Taiwani,Labda baadae sana
 
Taiwan ni mtoto mdogo Sana kwa China.china ikiamua inaipiga kirahisi sana .

Aamue sasa aache kuonea bahari haijamkosea....
China sio mjinga kama Urusi ajiingize aibu za bure.
 
Back
Top Bottom