Taiwan watunishia China misuli, meli zao za kivita zatazamana na za China

Taiwan watunishia China misuli, meli zao za kivita zatazamana na za China

Kwa kinachoendelea Ukraine dhidi ya Russia Kwa sasa siioni China ikiivamia Taiwani,Labda baadae sana
Wakati ni huu, akishindwa wakati huu ambao US na Allies wametoa sana Ukraine hataweza.

Maana Taiwan lazima ataanza military build up ili kujilinda. Kiufupi anajiweka defence mode zaidi...
 
Usiitazame Taiwan kama Taiwan angalia nyuma ya Taiwan kuna nani, lakini pia angalia huyo aliyenyuma ya Taiwan
Wewe unafikiri USA itaingia vitani moja Kwa moja na China?hawataingia Moja Kwa moja alafu China anauwezo wa kuizunguka Taiwan na kublock silaha zinazotoka nje.
 
Mmarekani akishajamba yeye anakaa pembeni anawasikilizia
 
Mkuu hiyo vita urusi hatashinda anatutia tu ugumu wa maisha huku putin aliingia kichwa kichwa tu hakuwa na mpango wakupiga muda mrefu mpaka sasa kashapoteza resources nyingi na a naingia gharama zisizo na msingi kijinga jinga tu
Hii ni opinion sio facts.
 
Mmarekani akishajamba yeye anakaa pembeni anawasikilizia
Hakuna mazingira pasua kichwa kama wakati huu kwa Marekani.

Jana uliiangalia Sky news Australia walivyokuwa wanaizungumzia hii operation ya Russia?
 
Ngoma ngumu kwa nani wakati warusi wanaendelea kuchukua maeneo ya Ukraine?mwisho wa siku Ukraine itabaki Kiev Tu.
Hizo ni ndoto za mchana, marekani ilishaweka wazi kwamba hivi vita inabidi ichukue muda mrefu Ili Russia atumie lasilimali zote vitani na hatimaye afirisike kabsa,kwa hiyo tuliza mshono we kahaba,
 
Hizo ni ndoto za mchana, marekani ilishaweka wazi kwamba hivi vita inabidi ichukue muda mrefu Ili Russia atumie lasilimali zote vitani na hatimaye afirisike kabsa,kwa hiyo tuliza mshono we kahaba,
Naona hujitambui SASA umenitukana kwanini?na Kwa akili yako warusi wataishiwa na rasilimali?watu wanamadini,gesi na mafuta ambayo hayajaguzwa huko Siberia na Pia maeneo waliyochukua kutoka Ukraine huku pia ni wasambazaji wa vyakula.tumia akili
 
Wewe unafikiri USA itaingia vitani moja Kwa moja na China?hawataingia Moja Kwa moja alafu China anauwezo wa kuizunguka Taiwan na kublock silaha zinazotoka nje.
Unajiropokea TU kama Mlevi. Unafikiri hizo Siraha zinaletwa na Mitumbwi?. China alishajaribu kuiteka Taiwan kwa Mara 3 na zote alifeli vibaya Sana(Alirudisha mkia matakoni). Mwaka 1960,1974,1996 na Sasa 2022.
 
Wewe unafikiri USA itaingia vitani moja Kwa moja na China?hawataingia Moja Kwa moja alafu China anauwezo wa kuizunguka Taiwan na kublock silaha zinazotoka nje.
Vipi kuhusu kambi ya kijeshi ya marekani ambayo inatazamana na Taiwan, je umesahau nchi zilizopakana na China ikiwemo Japan kote humo kuna base ya za US ni vile anasubiriwa China aanze tu., china aache mozoez pemben pembeni aingie ndani
 
Sidhani China ataweza kufanya kosa la kuivamia Taiwan, unless ni unabii utimie tu kama yanavyosema ktk maandiko matakatifu.

China amezungukwa na maadui wengi, maadui zake wengi watakubali kumuunga mkono Taiwan ili China atumie nguvu kubwa hapo Taiwan.

Muda huohuo maadui nao watajipanga zaidi kwenda kupambana nae Mchina. Na hii kitu Mchina anaelewa kabisa, yamkini ndio sababu ya yeye kutotaka kuingia vitani rasmi hapo Taiwan.

Akitazama kile kinachoendelea hapo Ukraine kwa rafiki yake wa zamani Russia, lazima akili impelekee awaze mara mbilimbili.
 
Ngoma ngumu kwa nani wakati warusi wanaendelea kuchukua maeneo ya Ukraine?mwisho wa siku Ukraine itabaki Kiev Tu.
Mkuu, kwa bahati mbaya ni members wachache wanao liona hilo!! Jeshi la Zelensky wasipo kuwa makini wakaendelea kurusha rusha maroketi kwenda kwenye aridhi ya Urusi au kushambulia miji yake - Zelensky na jeshi lake likifanya makosa kama hayo basi Ukraine yote itatwaliwa na Urusi kwa lengo la kujihakikisia usalama wa Taifa lYao (Urusi).
 
Walishindwa nini kuitwaa kwa zile siku tatu leo ndio wataweza miezi sita sasa. Wewe shehe vipi bwana.
 
Back
Top Bottom