Wakati ni huu, akishindwa wakati huu ambao US na Allies wametoa sana Ukraine hataweza.Kwa kinachoendelea Ukraine dhidi ya Russia Kwa sasa siioni China ikiivamia Taiwani,Labda baadae sana
Odinga tayari anasubiria kuapishwa tuLeta habari za uchaguzi za huko Kenya.
Russia Ukraine anaendelea kujichukulia maeneoKwa kinachoendelea Ukraine dhidi ya Russia Kwa sasa siioni China ikiivamia Taiwani,Labda baadae sana
Wewe unafikiri USA itaingia vitani moja Kwa moja na China?hawataingia Moja Kwa moja alafu China anauwezo wa kuizunguka Taiwan na kublock silaha zinazotoka nje.Usiitazame Taiwan kama Taiwan angalia nyuma ya Taiwan kuna nani, lakini pia angalia huyo aliyenyuma ya Taiwan
Hii vita nasikitika imenikuta ni raia ingenikuta nikiwa msoja ningeandika historia ya kutukuka hapa chini ya juaVita ya 3 inanukia
Hii ni opinion sio facts.Mkuu hiyo vita urusi hatashinda anatutia tu ugumu wa maisha huku putin aliingia kichwa kichwa tu hakuwa na mpango wakupiga muda mrefu mpaka sasa kashapoteza resources nyingi na a naingia gharama zisizo na msingi kijinga jinga tu
Hakuna mazingira pasua kichwa kama wakati huu kwa Marekani.Mmarekani akishajamba yeye anakaa pembeni anawasikilizia
Mimi sijasema kuwa ni fact ni akili yangu ya njaa tuHii ni opinion sio facts.
Sawa!Mimi sijasema kuwa ni fact ni akili yangu ya njaa tu
WanasemajeHakuna mazingira pasua kichwa kama wakati huu kwa Marekani.
Jana uliiangalia Sky news Australia walivyokuwa wanaizungumzia hii operation ya Russia?
Hizo ni ndoto za mchana, marekani ilishaweka wazi kwamba hivi vita inabidi ichukue muda mrefu Ili Russia atumie lasilimali zote vitani na hatimaye afirisike kabsa,kwa hiyo tuliza mshono we kahaba,Ngoma ngumu kwa nani wakati warusi wanaendelea kuchukua maeneo ya Ukraine?mwisho wa siku Ukraine itabaki Kiev Tu.
Naona hujitambui SASA umenitukana kwanini?na Kwa akili yako warusi wataishiwa na rasilimali?watu wanamadini,gesi na mafuta ambayo hayajaguzwa huko Siberia na Pia maeneo waliyochukua kutoka Ukraine huku pia ni wasambazaji wa vyakula.tumia akiliHizo ni ndoto za mchana, marekani ilishaweka wazi kwamba hivi vita inabidi ichukue muda mrefu Ili Russia atumie lasilimali zote vitani na hatimaye afirisike kabsa,kwa hiyo tuliza mshono we kahaba,
Unajiropokea TU kama Mlevi. Unafikiri hizo Siraha zinaletwa na Mitumbwi?. China alishajaribu kuiteka Taiwan kwa Mara 3 na zote alifeli vibaya Sana(Alirudisha mkia matakoni). Mwaka 1960,1974,1996 na Sasa 2022.Wewe unafikiri USA itaingia vitani moja Kwa moja na China?hawataingia Moja Kwa moja alafu China anauwezo wa kuizunguka Taiwan na kublock silaha zinazotoka nje.
Vipi kuhusu kambi ya kijeshi ya marekani ambayo inatazamana na Taiwan, je umesahau nchi zilizopakana na China ikiwemo Japan kote humo kuna base ya za US ni vile anasubiriwa China aanze tu., china aache mozoez pemben pembeni aingie ndaniWewe unafikiri USA itaingia vitani moja Kwa moja na China?hawataingia Moja Kwa moja alafu China anauwezo wa kuizunguka Taiwan na kublock silaha zinazotoka nje.
Sidhani China ataweza kufanya kosa la kuivamia Taiwan, unless ni unabii utimie tu kama yanavyosema ktk maandiko matakatifu.Vipi kuhusu kambi ya kijeshi ya marekani ambayo inatazamana na Taiwan, je umesahau nchi zilizopakana na China ikiwemo Japan kote humo kuna base ya za US ni vile anasubiriwa China aanze tu., china aache mozoez pemben pembeni aingie ndani
Mkuu, kwa bahati mbaya ni members wachache wanao liona hilo!! Jeshi la Zelensky wasipo kuwa makini wakaendelea kurusha rusha maroketi kwenda kwenye aridhi ya Urusi au kushambulia miji yake - Zelensky na jeshi lake likifanya makosa kama hayo basi Ukraine yote itatwaliwa na Urusi kwa lengo la kujihakikisia usalama wa Taifa lYao (Urusi).Ngoma ngumu kwa nani wakati warusi wanaendelea kuchukua maeneo ya Ukraine?mwisho wa siku Ukraine itabaki Kiev Tu.
Walishindwa nini kuitwaa kwa zile siku tatu leo ndio wataweza miezi sita sasa. Wewe shehe vipi bwana.Mkuu, kwa bahati mbaya ni members wachache wanao liona hilo!! Jeshi la Zelensky wasipo kuwa makini wakaendelea kurusha rusha maroketi kwenda kwenye aridhi ya Urusi au kushambulia miji yake - Zelensky na jeshi lake likifanya makosa kama hayo basi Ukraine yote itatwaliwa na Urusi kwa lengo la kujihakikisia usalama wa Taifa lYao (Urusi).